mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 627
Hivi mapenzi ya kweli bado yapo au kunalongolongo tu na wizi mtupu
wa kupotezeana mda? Maana mie mwenzenu sielewi naona kizungumkuti tu
na hekaheka huku mitaani. Leo wanaoana kesho wanaachana, leo mapenzi
motomoto kesho wanafumaniana guest, leo unapendwa kwa vile unangawira
na kesho zikiisha unaachwa.
Je, mapenzi ya kweli bado yapo au yalishajifia enzi hizo?