....Rejea kichwa cha Title hapo juu.
Natafuta mchumba ambaye hapo badae anaweza kuwa mzazi mwenzangu. Sifa ni kama zifuatazo.
Awe mweusi Tii
Awe mnene saaana
Awe anapiga pamba za marinda
Awe amefeli mtihani wa form four maana wasomi wanasumbua kweli
Awe mkorofi kidogo ili nisionewe
Asiwe na wivu hata kidogo.
kama una vigezo tafadhari ni PM