[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unapiga mkono kifuan huku unasema All is well... All is wellAll is well, all is well.
Unapiga mkono kifuan huku unasema All is well... All is well
Mm pia, yani naweza kuirudia bila kuchokaSure, one of the best Indian Movies kwangu.
Siyo mshabiki wa comed wala Indian movie lakini jamaa naweza kuwaangalia bila kuchoka.
Mm pia, yani naweza kuirudia bila kuchoka
Weeeeee subutu, kwanza utatuma hela ya kwend solon, then nauli ya kukufuata before watching move lazma tupate launch, then move, afu unanipa hela ya kurudi, na hela kidogo ya matumiz ya cku 2.. 3Movie nzuri sana ile, nitakutafute tuiangalie pamoja, ila nauli utajilipia halafu nitakuridishia ukifika.
Weeeeee subutu, kwanza utatuma hela ya kwend solon, then nauli ya kukufuata before watching move lazma tupate launch, then move, afu unanipa hela ya kurudi, na hela kidogo ya matumiz ya cku 2.. 3
Kama ni hivyo sahau, bora nibaki kwangu tuHa ha ha, kwani kuangalia movie mpaka uende salon tena, movie tunaangalia saa kumi kuelekea kumi na moja kila mtu anakuwa ameshakula, nauli we lipa tu ukifika nakurudishia, ukipanda daladala nakurudishia ya daladala, bajaj ya bajaj au kama ni bodaboda sawa.
Sana sana tutanunua bisi za kutafuna wakati wa kuangalia movie.
Unilishe bisi kisa cha kunifanya ninye mavi magumu ndo nn[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ha ha ha, kwani kuangalia movie mpaka uende salon tena, movie tunaangalia saa kumi kuelekea kumi na moja kila mtu anakuwa ameshakula, nauli we lipa tu ukifika nakurudishia, ukipanda daladala nakurudishia ya daladala, bajaj ya bajaj au kama ni bodaboda sawa.
Sana sana tutanunua bisi za kutafuna wakati wa kuangalia movie.
Kama ni hivyo sahau, bora nibaki kwangu tu
umemalizaHapo utaambiwa njoo uchukue nyumbani
Ila mo wewe ni chizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi zina makalio
Tujaribu na hivi
View attachment 399406