Kwa wadada tu

Kwa wadada tu

Unapiga mkono kifuan huku unasema All is well... All is well

Sure, one of the best Indian Movies kwangu.

Siyo mshabiki wa comed wala Indian movie lakini jamaa naweza kuwaangalia bila kuchoka.
 
Movie nzuri sana ile, nitakutafute tuiangalie pamoja, ila nauli utajilipia halafu nitakuridishia ukifika.
Weeeeee subutu, kwanza utatuma hela ya kwend solon, then nauli ya kukufuata before watching move lazma tupate launch, then move, afu unanipa hela ya kurudi, na hela kidogo ya matumiz ya cku 2.. 3
 
Ha ha ha, kwani kuangalia movie mpaka uende salon tena, movie tunaangalia saa kumi kuelekea kumi na moja kila mtu anakuwa ameshakula, nauli we lipa tu ukifika nakurudishia, ukipanda daladala nakurudishia ya daladala, bajaj ya bajaj au kama ni bodaboda sawa.

Sana sana tutanunua bisi za kutafuna wakati wa kuangalia movie.
 
Issue ya kuombana pesa imekua janga labTaifs, Rais na serikali inabidi iingilie kati.

Binafsi nakula jasho langu na mwanaume naweza kumlisha na kumvisha vile vile bila lawama, manung'uniko wala masengenyo. Nawaza huyu km angekuwa mume wangu, mwenye pesa lkn akapata tatizo akawa incapacitated, asiweze kufanya kazi au kuwa na pesa ya kunihudumia; ningemwacha? Jibu ni nisingemwacha ningemhudumia. Naendelea kuhudumia kama uwezo ninao wa kuhudumia.

Pesa mapito.
 
Ha ha ha, kwani kuangalia movie mpaka uende salon tena, movie tunaangalia saa kumi kuelekea kumi na moja kila mtu anakuwa ameshakula, nauli we lipa tu ukifika nakurudishia, ukipanda daladala nakurudishia ya daladala, bajaj ya bajaj au kama ni bodaboda sawa.

Sana sana tutanunua bisi za kutafuna wakati wa kuangalia movie.
Kama ni hivyo sahau, bora nibaki kwangu tu
 
Ha ha ha, kwani kuangalia movie mpaka uende salon tena, movie tunaangalia saa kumi kuelekea kumi na moja kila mtu anakuwa ameshakula, nauli we lipa tu ukifika nakurudishia, ukipanda daladala nakurudishia ya daladala, bajaj ya bajaj au kama ni bodaboda sawa.

Sana sana tutanunua bisi za kutafuna wakati wa kuangalia movie.
Unilishe bisi kisa cha kunifanya ninye mavi magumu ndo nn[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom