Kwa wadada wanaomiliki magari

Kwa wadada wanaomiliki magari

Ndio leo nimeelewa kwa nn yule mrembo anaenipa lift hunifungulia mlango wa nyuma na mwanzo wa sfr mpk mwisho tupo Wawili tu!

Una roho ngumu. Siku moja jitoe ufahamu ujaribu bahati yako. Anza kwa kumsifia halafu uone!
 
Nimeishashuhudia hii hali ya kinadada wanapodrive unakuta wanajiachia paja zao wazi mara kibao tu,hapa nimepata lifti kwenye Gari ya jirani yangu tunaelekea Posta.Kajiachia dah, hivi nikawaida yenu au.
 
Back
Top Bottom