nahisi tutakupoteza soon.....:decision:
Kheee Kheee wewe banaaIt sound weird, I changed
Nimewahi kujiuliza, na kuwauliza wao....wanadai heshima itashuka,wengine wanasema hawataweza kulea watoto wenyewe,wengine watapata wapi mwingine etc.....we unafikiri kwanini wanabaki kwenye abusive marriage???
SIO KWELI NI UWONGO MTUPU...
MBONA WAPO WENYE PESA ZAO KULIKO WAUME ZAO
NA WENGINE WANA WANAUME WENGINE WALIO TAYARI KUWAOA BUT STILL
WAPO KWENYE ABUSIVE MARIAGES....?????????
UKWELI NI KUWA ABUSSIVE ACTS ZINAWAFANYA
THE VICTIM TO FEEL THEY ARE NOTHIN WITHOUT THEIR ABUSERS..
NI TATIZO LAKISAIKOLOJIA ZAIDI...
NENDA GOOGLE EFFECTS ZA ABUSIVE RELATIOSHIPS..
HATA ABUSIVE FATHER HUWA ANAPENDWA ZAIDI NA WATOTO WAKE
.WATOTO HUWA WANA FEEL GUILTY KUMTELEKEZA....
My dear wako akija hutakuwa na muda na sisi tena.....
AD is coming home soon
No sis you remember my promise me and you, you took good care of me and there's a lot we still need to accomplish all this requires you assistanceMy dear wako akija hutakuwa na muda na sisi tena.....
SIO KWELI NI UWONGO MTUPU...
MBONA WAPO WENYE PESA ZAO KULIKO WAUME ZAO
NA WENGINE WANA WANAUME WENGINE WALIO TAYARI KUWAOA BUT STILL
WAPO KWENYE ABUSIVE MARIAGES....?????????
UKWELI NI KUWA ABUSSIVE ACTS ZINAWAFANYA
THE VICTIM TO FEEL THEY ARE NOTHIN WITHOUT THEIR ABUSERS..
NI TATIZO LAKISAIKOLOJIA ZAIDI...
NENDA GOOGLE EFFECTS ZA ABUSIVE RELATIOSHIPS..
HATA ABUSIVE FATHER HUWA ANAPENDWA ZAIDI NA WATOTO WAKE
.WATOTO HUWA WANA FEEL GUILTY KUMTELEKEZA....
hapana si uongo mtupu....kuna ukweli kwenye yote...kwamba abusive relationship zinashusha self esteem ya mwanamke na kumfanya asijiamini lakini pia wapo ambao wako kwenye ndoa kwa maslahi ya watoto wao na heshima na familia zao kwa ujumla....
hizo za wanawake wenye hela,that can be the reason but again it might be wanataka heshima na hawataki kuonekana wameshindwa......
no,what does is mean? I fail to understand.....
hapana si uongo mtupu....kuna ukweli kwenye yote...kwamba abusive relationship zinashusha self esteem ya mwanamke na kumfanya asijiamini lakini pia wapo ambao wako kwenye ndoa kwa maslahi ya watoto wao na heshima na familia zao kwa ujumla....
hizo za wanawake wenye hela,that can be the reason but again it might be wanataka heshima na hawataki kuonekana wameshindwa......
MICHELLE..
HIVI HOW DO U DEFINE HESHIMA???????
OPRAH NI SINGLE,CONDOLEEZA RICE NI SINGLE...
MADELAINE ALLBRIGHT ALIACHIKA I GUESS....
HAWANA HESHIMA?????????????
havyo hunayo waambia wenzako wanaelewa
Umesema ukweli kabisa Michelle, na nashukuru kwa somo zuri kabisa. Ni kweli kabisa kosa moja tulilolifanya kumwamini mwanaume ambaye hakutakiwa kuaminiwa halitakiwi kujirudia tena hata kidogo.
Kuna jambo nilikuwa nalitafakari siku mbili hizi, nakaona ni vizuri sana kuwa karibu na wazazi, ndugu jamaa na marafiki wema wale ambao tunashare common interests, na unapokutana na kaka unaefikiri ni mpenzi tusijifungie sana kwenye huo uhusiano na kufunga milango ya ushauri mzuri na maoni mazuri kutoka kwa jamaa na rafiki zako juu ya huyo mtu. Kuna wakati watu wanaweza kuona jambo lisilo na baraka kwa mwenzio lakini wanashindwa kukuambia kutoka na jinsi ulivyojifunga kwa huyo jamaa!!
Pia kumtegemea Mungu ni kuzuri sana hata kama umeanguka na kukosea ktk uhusiano ukiumimina moyo wako kwa Mungu anakuponya na kukusamehe na kukupa neema ya kuendelea mbele.
Nimeona wadada walioumizwa kwa namna moja au nyingine, wanaishia kunywa pombe kupita kiasi, ili kuondoa stress na kutafuta amani lakini haipatikani kirahisi. Wengine wamejikuta wakianzisha mahusiano mapya kila siku wakidhani watapata faraja lakini bado, wanazidi kuumia na kupoteza malengo kabisa ya maisha yao.
Mimi nimejifunza kwamba, Faraja ya kweli ipo kwa Mungu pekee, Mungu anayo amani udumuyo, na ukitulia na Mungu anakuponya na anakupa neema na hekima ya kusonga mbele, malengo yako yataendelea, atakuhifadhi na utakuwa mke mwema tu!! Lakini ukijichanganya sana na dunia unazidi kuchanganyikiwa na shetani naye anapata nafasi ya kukutumikisha zaidi kwenye dhambi.
Mungu ni mwema kwetu sote, na kwa msaada wa Mungu tutashinda.
Barikiwa Michelle, nimelipenda hili somo.
MICHELLE..
HIVI HOW DO U DEFINE HESHIMA???????
OPRAH NI SINGLE,CONDOLEEZA RICE NI SINGLE...
MADELAINE ALLBRIGHT ALIACHIKA I GUESS....
HAWANA HESHIMA?????????????
sikuwa najizungumzia mimi The Boss.....nimetoa tu some arguments wanazotoa kubaki kwenye abusive relationship.....!!!
Kama mimi simuelewi kabisa maana bamsapu hizo za kunipa mafoto ya future na kunitambulisha kwa ndugu zake alikuwa ndio mwenyewe, lakini amekuwa mume mzuri tu, sasa sijui hiyo itakuwa inategemea na nini? Hivi Michelle mwanaume bila kukuwekea hayo mavikorombwezo unaweza kuhisi unapendwa kweli? Yaani hakutambulishi popote, haongelei future yenu, du! mi hayo mastori ndio nilikuwa nayapenda jamani.