Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

Pole sana ndugu ila mshukuru mungu kwa hilo kwa kuwa limekufumbua macho.

kwa kweli,natumai sitadanganywa tena manake dunia hii kuna mafundi wa kudanganya....Heaven Forbid....:rain:
 
Nimewahi kujiuliza, na kuwauliza wao....wanadai heshima itashuka,wengine wanasema hawataweza kulea watoto wenyewe,wengine watapata wapi mwingine etc.....we unafikiri kwanini wanabaki kwenye abusive marriage???

SIO KWELI NI UWONGO MTUPU...
MBONA WAPO WENYE PESA ZAO KULIKO WAUME ZAO
NA WENGINE WANA WANAUME WENGINE WALIO TAYARI KUWAOA BUT STILL
WAPO KWENYE ABUSIVE MARIAGES....?????????

UKWELI NI KUWA ABUSSIVE ACTS ZINAWAFANYA
THE VICTIM TO FEEL THEY ARE NOTHIN WITHOUT THEIR ABUSERS..
NI TATIZO LAKISAIKOLOJIA ZAIDI...
NENDA GOOGLE EFFECTS ZA ABUSIVE RELATIOSHIPS..

HATA ABUSIVE FATHER HUWA ANAPENDWA ZAIDI NA WATOTO WAKE
.WATOTO HUWA WANA FEEL GUILTY KUMTELEKEZA....
 
My dear wako akija hutakuwa na muda na sisi tena.....
No sis you remember my promise me and you, you took good care of me and there's a lot we still need to accomplish all this requires you assistance
 
SIO KWELI NI UWONGO MTUPU...
MBONA WAPO WENYE PESA ZAO KULIKO WAUME ZAO
NA WENGINE WANA WANAUME WENGINE WALIO TAYARI KUWAOA BUT STILL
WAPO KWENYE ABUSIVE MARIAGES....?????????

UKWELI NI KUWA ABUSSIVE ACTS ZINAWAFANYA
THE VICTIM TO FEEL THEY ARE NOTHIN WITHOUT THEIR ABUSERS..
NI TATIZO LAKISAIKOLOJIA ZAIDI...
NENDA GOOGLE EFFECTS ZA ABUSIVE RELATIOSHIPS..

HATA ABUSIVE FATHER HUWA ANAPENDWA ZAIDI NA WATOTO WAKE
.WATOTO HUWA WANA FEEL GUILTY KUMTELEKEZA....

hapana si uongo mtupu....kuna ukweli kwenye yote...kwamba abusive relationship zinashusha self esteem ya mwanamke na kumfanya asijiamini lakini pia wapo ambao wako kwenye ndoa kwa maslahi ya watoto wao na heshima na familia zao kwa ujumla....

hizo za wanawake wenye hela,that can be the reason but again it might be wanataka heshima na hawataki kuonekana wameshindwa......
 
Umesema ukweli kabisa Michelle, na nashukuru kwa somo zuri kabisa. Ni kweli kabisa kosa moja tulilolifanya kumwamini mwanaume ambaye hakutakiwa kuaminiwa halitakiwi kujirudia tena hata kidogo.

Kuna jambo nilikuwa nalitafakari siku mbili hizi, nakaona ni vizuri sana kuwa karibu na wazazi, ndugu jamaa na marafiki wema wale ambao tunashare common interests, na unapokutana na kaka unaefikiri ni mpenzi tusijifungie sana kwenye huo uhusiano na kufunga milango ya ushauri mzuri na maoni mazuri kutoka kwa jamaa na rafiki zako juu ya huyo mtu. Kuna wakati watu wanaweza kuona jambo lisilo na baraka kwa mwenzio lakini wanashindwa kukuambia kutoka na jinsi ulivyojifunga kwa huyo jamaa!!

Pia kumtegemea Mungu ni kuzuri sana hata kama umeanguka na kukosea ktk uhusiano ukiumimina moyo wako kwa Mungu anakuponya na kukusamehe na kukupa neema ya kuendelea mbele.

Nimeona wadada walioumizwa kwa namna moja au nyingine, wanaishia kunywa pombe kupita kiasi, ili kuondoa stress na kutafuta amani lakini haipatikani kirahisi. Wengine wamejikuta wakianzisha mahusiano mapya kila siku wakidhani watapata faraja lakini bado, wanazidi kuumia na kupoteza malengo kabisa ya maisha yao.

Mimi nimejifunza kwamba, Faraja ya kweli ipo kwa Mungu pekee, Mungu anayo amani udumuyo, na ukitulia na Mungu anakuponya na anakupa neema na hekima ya kusonga mbele, malengo yako yataendelea, atakuhifadhi na utakuwa mke mwema tu!! Lakini ukijichanganya sana na dunia unazidi kuchanganyikiwa na shetani naye anapata nafasi ya kukutumikisha zaidi kwenye dhambi.

Mungu ni mwema kwetu sote, na kwa msaada wa Mungu tutashinda.
Barikiwa Michelle, nimelipenda hili somo.
 
no,what does is mean? I fail to understand.....

ina maana

kwenye love ni kama kwenye vita..
Hakuna specific rules.....

Lolote unalofanya likifakisha ni sawa..
Even vile ambavyo wengine wanaona sio sawa...
 
hapana si uongo mtupu....kuna ukweli kwenye yote...kwamba abusive relationship zinashusha self esteem ya mwanamke na kumfanya asijiamini lakini pia wapo ambao wako kwenye ndoa kwa maslahi ya watoto wao na heshima na familia zao kwa ujumla....

hizo za wanawake wenye hela,that can be the reason but again it might be wanataka heshima na hawataki kuonekana wameshindwa......

MICHELLE..
HIVI HOW DO U DEFINE HESHIMA???????

OPRAH NI SINGLE,CONDOLEEZA RICE NI SINGLE...
MADELAINE ALLBRIGHT ALIACHIKA I GUESS....

HAWANA HESHIMA?????????????
 
havyo hunayo waambia wenzako wanaelewa

Kama mimi simuelewi kabisa maana bamsapu hizo za kunipa mafoto ya future na kunitambulisha kwa ndugu zake alikuwa ndio mwenyewe, lakini amekuwa mume mzuri tu, sasa sijui hiyo itakuwa inategemea na nini? Hivi Michelle mwanaume bila kukuwekea hayo mavikorombwezo unaweza kuhisi unapendwa kweli? Yaani hakutambulishi popote, haongelei future yenu, du! mi hayo mastori ndio nilikuwa nayapenda jamani.
 
Umesema ukweli kabisa Michelle, na nashukuru kwa somo zuri kabisa. Ni kweli kabisa kosa moja tulilolifanya kumwamini mwanaume ambaye hakutakiwa kuaminiwa halitakiwi kujirudia tena hata kidogo.

Kuna jambo nilikuwa nalitafakari siku mbili hizi, nakaona ni vizuri sana kuwa karibu na wazazi, ndugu jamaa na marafiki wema wale ambao tunashare common interests, na unapokutana na kaka unaefikiri ni mpenzi tusijifungie sana kwenye huo uhusiano na kufunga milango ya ushauri mzuri na maoni mazuri kutoka kwa jamaa na rafiki zako juu ya huyo mtu. Kuna wakati watu wanaweza kuona jambo lisilo na baraka kwa mwenzio lakini wanashindwa kukuambia kutoka na jinsi ulivyojifunga kwa huyo jamaa!!

Pia kumtegemea Mungu ni kuzuri sana hata kama umeanguka na kukosea ktk uhusiano ukiumimina moyo wako kwa Mungu anakuponya na kukusamehe na kukupa neema ya kuendelea mbele.

Nimeona wadada walioumizwa kwa namna moja au nyingine, wanaishia kunywa pombe kupita kiasi, ili kuondoa stress na kutafuta amani lakini haipatikani kirahisi. Wengine wamejikuta wakianzisha mahusiano mapya kila siku wakidhani watapata faraja lakini bado, wanazidi kuumia na kupoteza malengo kabisa ya maisha yao.

Mimi nimejifunza kwamba, Faraja ya kweli ipo kwa Mungu pekee, Mungu anayo amani udumuyo, na ukitulia na Mungu anakuponya na anakupa neema na hekima ya kusonga mbele, malengo yako yataendelea, atakuhifadhi na utakuwa mke mwema tu!! Lakini ukijichanganya sana na dunia unazidi kuchanganyikiwa na shetani naye anapata nafasi ya kukutumikisha zaidi kwenye dhambi.

Mungu ni mwema kwetu sote, na kwa msaada wa Mungu tutashinda.
Barikiwa Michelle, nimelipenda hili somo.

Asante sana LD,ndo maana nakupenda dada yangu....umefafanua kwa upana na kushauri zaidi. Mungu akubariki pia.
 
Kama mimi simuelewi kabisa maana bamsapu hizo za kunipa mafoto ya future na kunitambulisha kwa ndugu zake alikuwa ndio mwenyewe, lakini amekuwa mume mzuri tu, sasa sijui hiyo itakuwa inategemea na nini? Hivi Michelle mwanaume bila kukuwekea hayo mavikorombwezo unaweza kuhisi unapendwa kweli? Yaani hakutambulishi popote, haongelei future yenu, du! mi hayo mastori ndio nilikuwa nayapenda jamani.

Pamoja na makorobwezo na mavipodozi yote hayo, anasisitiza mjuane vizuri maana wapo wanaoweza wakatumia same style lakin hawana nia ya kwli
 
Kama mimi simuelewi kabisa maana bamsapu hizo za kunipa mafoto ya future na kunitambulisha kwa ndugu zake alikuwa ndio mwenyewe, lakini amekuwa mume mzuri tu, sasa sijui hiyo itakuwa inategemea na nini? Hivi Michelle mwanaume bila kukuwekea hayo mavikorombwezo unaweza kuhisi unapendwa kweli? Yaani hakutambulishi popote, haongelei future yenu, du! mi hayo mastori ndio nilikuwa nayapenda jamani.

Nafikiri umechagua kutokunielewa....sijasema wanaume wasitoe ahadi...kila kitu kina nafasi yake na muda wake....na sijasema kila nilichosema kina apply kwa kila mwanaume na mwanamke....waweza kuwa exception.....maana yangu ni kuwa wapo wanaume wanaokuja na ahadi za uongo.....ili mradi tu apate anachokitaka aondoke.....nimetaja sifa za naadhi yao hapo..... na kushauri tuchukue muda kuwafahamu wanaume na ahadi zao na si ukishaahidiwa ndoa wewe ushapanua miguu yako......hakuna niliposema wasitambulishe,ila its insanity kumuamini mtu uliyekutana nae juzi akienda kukutambulisha kwa rafiki na ndugu zake while hata unachofanya hakijui.....ni mtazamo,tuliokutanan nayo tunaelewa.
 
Back
Top Bottom