Mwakapesa II
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 554
- 915
waheshimiwa habari zenu? nimekuwa nikifikiri sana kuhusu jambo moja kuhusu elimu ya TANZANIA nikaona ni vyema ni washirikishe "kiukweli elm ya tanzania inashuka kutokana na asilimia kubwa ya vjana weng wa sasa kuwa hawajitambui ipasavyo (hasa kwa vjana wa secondary "O-LEVER"). MFANO utakuta mwanafunzi anatumia muda mwingi katk mitandao ya kijamii hivyo kukosa hata muda wakujisomea tofaut na kipndi cha nyuma ambapo weng walikuwa waktumia muda mwing katika kujisomea KWA UPANDE WANGU me nafikiri hii ni kutokana na wanafunzi kuanzishwa shule wakiwa na umr mdogo hivyo kipnd cha foolish age (14-17) kinawakuta bado wakwa shulen (secondary) pia mazngira na uangalifu hafifu kutoka kwa wazaz na vitu vingi sana vinavyo sababisha" UKIWA KAMA MDAU WA ELIMU unaweza ukatusaidia nin chanzo na ufumbuz wa matatizo hayo nakaribisha maoni na mapendekezo nin kifanyike ili kuongeza kiwango cha elimu NCHINI.