Kwa wadau wa elimu na watu wote wenye mawazo ya msaada

Mwakapesa II

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
554
Reaction score
915
waheshimiwa habari zenu? nimekuwa nikifikiri sana kuhusu jambo moja kuhusu elimu ya TANZANIA nikaona ni vyema ni washirikishe "kiukweli elm ya tanzania inashuka kutokana na asilimia kubwa ya vjana weng wa sasa kuwa hawajitambui ipasavyo (hasa kwa vjana wa secondary "O-LEVER"). MFANO utakuta mwanafunzi anatumia muda mwingi katk mitandao ya kijamii hivyo kukosa hata muda wakujisomea tofaut na kipndi cha nyuma ambapo weng walikuwa waktumia muda mwing katika kujisomea KWA UPANDE WANGU me nafikiri hii ni kutokana na wanafunzi kuanzishwa shule wakiwa na umr mdogo hivyo kipnd cha foolish age (14-17) kinawakuta bado wakwa shulen (secondary) pia mazngira na uangalifu hafifu kutoka kwa wazaz na vitu vingi sana vinavyo sababisha" UKIWA KAMA MDAU WA ELIMU unaweza ukatusaidia nin chanzo na ufumbuz wa matatizo hayo nakaribisha maoni na mapendekezo nin kifanyike ili kuongeza kiwango cha elimu NCHINI.
 
Tatizo ukuaji wa technolojia miaka ya nyuma ma social networks yalikua akuna.nw days ni sh
 
Inategemea Na Mtu Mwenyew,tena Cku Hz Ndo Rahc Kabsa,kwan Teknolojia Imerahsisha Sana Usomaji,kwa Mt Mweny Nia Yakusoma,mtandao Lazma Umfaidishe,ila Kw Wale Wapenda Starehe Ndo Wanaokesha Mtandaon,
 
Kwakweli form four za sikuhizi zina watoto wengi sana na wamekuwa addicted na motandao(social networks),Games,kubet na miziki

Ila wazazi na walimu wakiwa strict naamini itasaidia,Mbona Feza's na Seminaries zinafanya vizuri? Ni namna ya kuwahandle vizuri wanafunzi.
 
hapo tatzo ni kutokujielewa kwa mwanafunzi
 
Kwakweli form four za sikuhizi zina watoto wengi sana na wamekuwa addicted na motandao(social networks),Games,kubet na miziki

Ila wazazi na walimu wakiwa strict naamini itasaidia,Mbona Feza's na Seminaries zinafanya vizuri? Ni namna ya kuwahandle vizuri wanafunzi.

nimekupata mkuu ila kwa shule nying za day tatzo hil ndio kubwa xana je wazaz wanahusika?
 
Ndio kabisa mkuu,as long as bado mwanafunzi yupo chini ya mzazi/wazazi wake na anaishi nao badi Wazazi wana nafasi ya kumshape mtoto vizuri tu, mimi nina mifano ya watoto wawili waliokuwa wanafanya vibaya wakiwa boarding mpk form 2

Baadaye wakawa day students na wakawa wanafanya vizuri,kwahiyo Mzazi ndio mwalimu wa kwanza kwa mwanafunzi.
 
Back
Top Bottom