Ebwana eh wakati tuna subiria hayo yatokee wadau nawa karibisha mjumuike na mimi. Maana msosi mzito huu siwezi kumaliza yote. "Waiter, lete kishushio basi!"
Mkuu mkuu mkuu, sasa hii thanksgiving itabidi nichome na kiti moto. Maana huyo ndege pekee inakuwa tabu baada ya kuona hii picha.
Karibu sana mkuu. Yani hii kitu nikila kwangu kila siku ni Thanksgiving hahaha. Sasa Turkey raha yake mara moja kwa mwaka tu hahaha.