Kwa wadau wa kitimoto tu!

Kwa wadau wa kitimoto tu!

1292363666_746f2523c1.jpg

Ebwana eh wakati tuna subiria hayo yatokee wadau nawa karibisha mjumuike na mimi. Maana msosi mzito huu siwezi kumaliza yote. "Waiter, lete kishushio basi!"

Mkuu mkuu mkuu, sasa hii thanksgiving itabidi nichome na kiti moto. Maana huyo ndege pekee inakuwa tabu baada ya kuona hii picha.
 
Mkuu mkuu mkuu, sasa hii thanksgiving itabidi nichome na kiti moto. Maana huyo ndege pekee inakuwa tabu baada ya kuona hii picha.

Karibu sana mkuu. Yani hii kitu nikila kwangu kila siku ni Thanksgiving hahaha. Sasa Turkey raha yake mara moja kwa mwaka tu hahaha.
 
Karibu sana mkuu. Yani hii kitu nikila kwangu kila siku ni Thanksgiving hahaha. Sasa Turkey raha yake mara moja kwa mwaka tu hahaha.

Mkuu hizo ndizi na tu pilipili mbuzi, ukichanganya na mheshimiwa inakuwa tabu sana.

2390441733_49cc2b77b5.jpg

porkshoulder.jpg

porkhash1.jpg
 
Mkuu hizo ndizi na tu pilipili mbuzi, ukichanganya na mheshimiwa inakuwa tabu sana.

2390441733_49cc2b77b5.jpg

porkshoulder.jpg

porkhash1.jpg

vyakula vingine mmmmh! sisi wengine tumeshazoea ugali wa muhogo na mrenda pori!
 
Hata hivyo hatuachi Kitimotooooooooooooos
 
Don't worry you kitimoto lovers. Evolution takes millions of years. So even if the change were to happen it will be a couple of million years to come. Among you who will be there? Stop those worries and enjoy kitimoto kwa kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom