Kwa wadau wa muziki wa zamani, ni nani huyu??

Kumbe humu kumejaa watoto! Kama kipindi cha tamtam-tunda ni zamani?
Kwamba aliyefurahia "tunda tamu tamu" ni mtoto?

Walioifurahia "Kamanda" ya Daz Nundaz, "Mtoto wa geti kali", taarabu ya 1999/2000, Athumani mlevi, Mwanangu huna nidhamu, ndio hao hao wamesikiliza akina Beta Musica, Muumin, n.k

Jua ni watu wanaocheza na 35 kwenda mbele....kama ni wa kike, kuna wenye watoto wako elimu za upili; mtoto kwako ni yupi hapo?
 
Jf wote ni wazeee wamezaliwa 60 na 70s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…