Kwa waelewa wa mambo tuuu

Kwa waelewa wa mambo tuuu

Joined
Aug 8, 2013
Posts
65
Reaction score
1
Jaman eh et mtu aliye soma bs of sceince in educa with chemistry na bs in educa with bios nan yuko juu soko la ajila??? Mbali na education wap aplication ya hizo cource
 
Ualimu ni ualimu tu!
Wote hao kazi yao ni kufundisha, as far as sc. is concerned, hakuna msoto wa ajira...
 
kwani matokeo yenu ya darasa la saba bado hayajatoka!!!!
 
Daaaaaaa hata wakati wa kwenda mbinguni itakua hivyo tuu wapo watakao toa kashifa na wale wateule waliojaa hekima watatoa mameno mazuri sio kosa lake malez ndo shida
 
Back
Top Bottom