Kwa wafanyabiashara na wasafirishaji ya samaki kutoka Mwanza

Kwa wafanyabiashara na wasafirishaji ya samaki kutoka Mwanza

omusimba

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
310
Reaction score
78
Ni matumaini yangu kuwa katika jukwaa letu hakuna kinachoshindikana. Mimi ni mwenyeji wa Mwanza , nimetembelea masoko ya samaki hasa Sangara na sato jijini Dar es Salaam hivi kariburini. Nimefarijika kuona kuwa hali ya soko ni nzuri.

Kama kuna mdau mwenye kuwa na gari la kusafirisha samaki kutoka Mwanza tuwasiliane ili tuweze kupanga jinsi ya kufanya biashara hii kwa faida ya pande husika.

Pia wanunuzi wa samaki kwa bei ya jumla walioko Dsm tuwasiliane.

Shukrani.
 
Mbona magari ya kusafirisha ni mengi tu kg moja inaenda kwa sh 300.nenda mwaloni kirumba information zote utapata.
 
Ni matumaini yangu kuwa katika jukwaa letu hakuna kinachoshindikana. Mimi ni mwenyeji wa Mwanza , nimetembelea masoko ya samaki hasa Sangara na sato jijini Dar es Salaam hivi kariburini. Nimefarijika kuona kuwa hali ya soko ni nzuri.

Kama kuna mdau mwenye kuwa na gari la kusafirisha samaki kutoka Mwanza tuwasiliane ili tuweze kupanga jinsi ya kufanya biashara hii kwa faida ya pande husika.

Pia wanunuzi wa samaki kwa bei ya jumla walioko Dsm tuwasiliane.

Shukrani.

Mimi niko Dar, njoo PM tupange mkakati
 
Hivi kuna yeyote anayejua ukipiga route ya kutoa samaki mwanza na uingize mikoa ya Iringa na Mbeya ikoje? maana sijajua kama wana njia nyingine ya kupata sato na sangara tofauti na za mwanza.
 
Karibu sana Mimi ninayo Gari Benz atego ton 10 ndo kwanza imefika week tatu zilizopita kama utakuwa unahitaji Gari hali kulitumia liba heavy duty themoking na pia kama unasimama sehemu yenye umeme likiwa limezima unahunga kwenye socket kuwa na ubaridi ule ule,ni Pm tupange biashara,karibuni
 
Back
Top Bottom