Ni matumaini yangu kuwa katika jukwaa letu hakuna kinachoshindikana. Mimi ni mwenyeji wa Mwanza , nimetembelea masoko ya samaki hasa Sangara na sato jijini Dar es Salaam hivi kariburini. Nimefarijika kuona kuwa hali ya soko ni nzuri.
Kama kuna mdau mwenye kuwa na gari la kusafirisha samaki kutoka Mwanza tuwasiliane ili tuweze kupanga jinsi ya kufanya biashara hii kwa faida ya pande husika.
Pia wanunuzi wa samaki kwa bei ya jumla walioko Dsm tuwasiliane.
Shukrani.