Kwa wafanyabiashara tu. Tujadili jinsi ya kudeal na wachina ili usilizwe

Tatizo hapo tunataka mfumo wamzungu tuhamishie kwa mchina
 
Hata kama unafanya hivyo kama unadeal na mchina hali ni hiyo hiyo.

tana kusuply mchina ni wa hovyo kabisa , kila siku anatafuta supplier wapya , hupangi jambo likapangika sababu kila siku rate imebadilika kutokana na supplier mtakavyokuwa wengi
Kweli hii changamoto inaweza kuendelea kuwepo,kwa sababu kwa mchina anaangalia mauzo zaidi,yaani mzigo utoke kwa haraka na mapato makubwa yaonekane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…