Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
Ongeza na wabongoWachina na wahindi NI KENGE SANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza na wabongoWachina na wahindi NI KENGE SANA
Kuna mmoja nilimchezea picha hilo , hatasau ,ila na kazi iliisha hapo hapo nikasema potelea kwa mbali ,Wanawaza profit tu hawana utu
Kweli hii changamoto inaweza kuendelea kuwepo,kwa sababu kwa mchina anaangalia mauzo zaidi,yaani mzigo utoke kwa haraka na mapato makubwa yaonekane.Hata kama unafanya hivyo kama unadeal na mchina hali ni hiyo hiyo.
tana kusuply mchina ni wa hovyo kabisa , kila siku anatafuta supplier wapya , hupangi jambo likapangika sababu kila siku rate imebadilika kutokana na supplier mtakavyokuwa wengi
Wabongo tupo vizuri wachache tu viaziOngeza na wabongo
Namuonea sach huruma.aulize watu wa softcare diapers walivompa mchina mtaji.kila mtu alimpa mkataba feki.Sach na panda