Habarini niende kwenye mada moja kwa moja uzi huu ni kwa ajili ya wafanyabiashara walionza kwa mitaji midogo na mpaka sasa wamefanikiwa naomba mtupe ilikuaje abc za aina za biashara mlizoanza nazo mpaka mkafanikiwa changamoto zake pamoja na ushauri kwa wale wanaotaka kuanza biashara wafanye kipi na kipi wasikifanye.