- Thread starter
- #21
Sipo kwenye biashara natarajia kuingia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo kwenye biashara natarajia kuingia
Sawa mkuu nimekuelewaUsiwaamini sana maana nyuma ya mafanikio yao kuna siri hawawezi kamwe kuzisema
Ingia kwanza, changamoto ndo zitakupa majibu ya maswali yako kijana.Sipo kwenye biashara natarajia kuingia
Sawa mkuu nitazingatia hiloNaona watu weng wanashaur kama biashara ndogo faid uingize kweny biashar ila Katika njia mzuri za kufeli kweny biashara ni kuingiza faida moja kwa moja kweny biashara kwasababu ikifeli umefeli mazima huna hata akiba ya kuanzia pia unaweza kupoteza fursa nying sana anaweza kutokea mtu anauza mzigo bei chee ila wewe huna pesa yote ipo kweny mzunguko, iliyosawa tenga fedha ya mtaji faida weka pemben halaf utakuwa unaiingiza kweny mzunguko kwa kiasi itakavyohitajika, itakusaidia kusevu mambo meng pia biashara hata ikiyumba unaiboost mwenyw kupitia faida uliyoiweka pemben hata ikitokea ajali (allah atuepushie) basi huumizi kichwa pakuanzia tofaut na ikiwa pesa yote ipo kweny mzunguko.
Naamini kuna changamoto ambazo ni common kwenye biashara wafanyabiashara wanazijua wenyewe ni bora huzitaje ili ziweze kutusaidia kuziepukaIngia kwanza, changamoto ndo zitakupa majibu ya maswali yako kijana.
Yeye anataka apate ushauri wa bure kirahisi rahisi namna hii sidhani kama atampata mtu wa kweliHapa tutakuja sisi warugaruga tukudanganye mkuu
Hao unaowataka mda wote wako bize na michakato yao ya maela.
We jamaa unaonekana unapenda hela sana nini maana ya jamii forums kuweka majukwaa kama haya basi ni pm nikupe hela unipe ushauriYeye anataka apate ushauri wa bure kirahisi rahisi namna hii sidhani kama atampata mtu wa kweli
Wewe unaelezea saving. Saving ni maamuzi mengine ya kibiashara.Naona watu weng wanashaur kama biashara ndogo faid uingize kweny biashar ila Katika njia mzuri za kufeli kweny biashara ni kuingiza faida moja kwa moja kweny biashara kwasababu ikifeli umefeli mazima huna hata akiba ya kuanzia pia unaweza kupoteza fursa nying sana anaweza kutokea mtu anauza mzigo bei chee ila wewe huna pesa yote ipo kweny mzunguko, iliyosawa tenga fedha ya mtaji faida weka pemben halaf utakuwa unaiingiza kweny mzunguko kwa kiasi itakavyohitajika, itakusaidia kusevu mambo meng pia biashara hata ikiyumba unaiboost mwenyw kupitia faida uliyoiweka pemben hata ikitokea ajali (allah atuepushie) basi huumizi kichwa pakuanzia tofaut na ikiwa pesa yote ipo kweny mzunguko.
Ushawahi fanya biashara?Wewe unaelezea saving. Saving ni maamuzi mengine ya kibiashara.
Unavyoniona naongea hapa kama layman? Mfanyabiashara gani wa kuweka hela kusubiria kitu kisichotabirika? Wakati biashara uliyonayo tayari ni kitu kinachotabirika?Ushawahi fanya biashara?
Sawa kiongozi ni maoni yako pia siwezi kukupingaUnavyoniona naongea hapa kama layman? Mfanyabiashara gani wa kuweka hela kusubiria kitu kisichotabirika? Wakati biashara uliyonayo tayari ni kitu kinachotabirika?
Ni kweli napenda sana hela na ninagharamia ili kuipata hiyo hela , ogopa sana mtu anayependa vya bure bure.We jamaa unaonekana unapenda hela sana nini maana ya jamii forums kuweka majukwaa kama haya basi ni pm nikupe hela unipe ushauri
Nimekuambia uni pm nikupe hela unipe ushauri hio bure imetoka wapi alafu soma vizurii uelewe sijaomba mtu hela hapa na kila mtu ana uhuru wa kuuliza anachokitaka hapa iwe bure au kwa hela inategemea na mhusika anataka nn naomba unikaushie kama huna cha maana cha kuchangiaNi kweli napenda sana hela na ninagharamia ili kuipata hiyo hela , ogopa sana mtu anayependa vya bure bure.
Umetumwa eeh! Kwani lazima ushauri utoke kwangu, chukua mmoja wapo kati ya huo uliopewa, vilevile punguza hasira, kuwa mnyenyekevu, kuna mtu umemwajiri hapa? Kama sio, hasira za nini? tulia, maisha hayaendi hivyo, nahisi unataka kunidhuru.Nimekuambia uni pm nikupe hela unipe ushauri hio bure imetoka wapi alafu soma vizurii uelewe sijaomba mtu hela hapa na kila mtu ana uhuru wa kuuliza anachokitaka hapa iwe bure au kwa hela inategemea na mhusika anataka nn naomba unikaushie kama huna cha maana cha kuchangia
Bila kuweka savings katika faida unayopata katika biashara yako ni tatizo kubwa sana.Wewe unaelezea saving. Saving ni maamuzi mengine ya kibiashara.