Kwa wafanyabiashara walionza na mitaji midogo na wakafanikiwa

Dumejr

Member
Joined
Feb 16, 2021
Posts
71
Reaction score
70
Habarini niende kwenye mada moja kwa moja uzi huu ni kwa ajili ya wafanyabiashara walionza kwa mitaji midogo na mpaka sasa wamefanikiwa naomba mtupe ilikuaje abc za aina za biashara mlizoanza nazo mpaka mkafanikiwa changamoto zake pamoja na ushauri kwa wale wanaotaka kuanza biashara wafanye kipi na kipi wasikifanye.
 
Wanakuja..

Ningeshauri kitu lakini mimi bado sijafikia hatua ya kusema nimefanikiwa kibiashara.
 
Mafanikio kwenye biashara ni Web wa many factors. Ni bonge la mtandao wa mambo mbali mbali.
1. Akili
2. Akili ya biashara
3. Determination
4. Commitment
Hata hivyo mambo mengi ya biashara yalishaandikwa kwenye kitabu cha "The Richest Man in Babylon".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…