Kwa wafuasi wa CHADEMA na baadhi ya viongozi wao

mhuri25

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Posts
3,736
Reaction score
5,374
Umofia wanajamii humu ndani kabla ya yote naomba kusisitiza KUNAWA MIKONO KWA SABUNI NA MAJI SAFI YANAYOTIRIRIKA, ZAIDI KUKAA MAJUMBANI MWETU PIA KUFUATA MIONGOZO NA KANUNI ZA AFYA.

Turejee sasa katika mada tajwa hapo juu, maalumu kwa wanachama, wafuasi, wakereketwa na baadhi ya viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo chini ya kiongozi wao kamanda MBOWE kwanini hawa watu iwe mtaani kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii hata humu ndani tumekuwa tukiwashuhudia baadhi yao wamekuwa ni watu wasio na lugha nzuri za kiustaarabu na staha na wakati mwingine matusi hasa kwa kila mtu wanaehisi au kutambua kuwa yupo kinyume na mitizamo na fikra zao.
 
Mmmmmh inamana unamsema Yule mzeee wa chato kiujanja janja, hivi nyie chadema mnaogopa nini kusema wazi pasipo kuzunguka? Maaana kila mtu anajua kuwa unamsema Yule mzeee ambae hataki kuona mtu mwenye mtizamo tofauti na yeye yuko tiyari kuwatuma ile kikosi kumpoteza na hawataki ushauri, hivyo umeamua tu kuzunguka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi Tuliosoma Fasihi umetumia Figure of speech inayoitwa Litotes

Maana hapa Tz chama mataga party ndo chama namba moja kwa kuongea lugha chafu wakiongozwa na Jambazi wa chattel
 
Back
Top Bottom