Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tsh 500 kwa mayai matatu inamaana yai moja ni Tsh 166.7Unajua hesabu lakini? mayai 3 shilingi mia tano ndugu sasa hiyo shilingi 333 yako umeitoa wapi?
wazo zuri saana ndugutafuteni masoko nje ya maeneo mliyopo. niko ngara Kagera. tray ya mayai tunauziwa minimum 9,000. kuna wakati inapanda 10,000-11,000. yanatolewa nje ya ngara.
sio story maana nina kijiwe cha chips.
wazo zuri saana ndugu
Kweli kanisa niliwahi panda basi Arusha to Dodoma nilishudia mayai yakishushwa kondoa yakitokea Arushatafuteni masoko nje ya maeneo mliyopo. niko ngara Kagera. tray ya mayai tunauziwa minimum 9,000. kuna wakati inapanda 10,000-11,000. yanatolewa nje ya ngara.
sio story maana nina kijiwe cha chips.
Swadaktaaaaa!Tsh 500 kwa mayai matatu inamaana yai moja ni Tsh 166.7