Kwa wafugaji wa Sungura na Simbilisi

Kwa wafugaji wa Sungura na Simbilisi

yutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1,668
Reaction score
1,017
Kwa wafugaji wa hivyo vitoweo mahali popote pale Tz tuwasiliane kwa pm
niko tayari nikufuate popote pale ulipo ili mradi tu unithibitishie kama naweza kuwapata wasiopungua mia tano ila nahitaji zaidi ya mia tano.

Pia naomba wataalam washauri waniambie nawezaje kusafirisha hao viumbe wakiwa hai kwa umbali wa km 6000, ni chakula gani kitafaa, kama ntatumia usafiri wa track niwapakeji kwa kuwarundika pamoja au nitumie vibox nk.

Aksante.
 
Ukitaka kupata simbilisi wengi nenda sehemu za iringa..Mimi bibi Yangu alikuwa na simbilisi wasiopungua 2500 ..niliwafaidi sana maana ni watamu sana..sungura wanapatikana sana mikoa ya nyanda za juu kusini... maana kule kunaspecie nyingi za majani na mimea ambayo ni chakula cha wanyama...
 
Kwenye parking inategemea unapeleka wapi.
Kama ni nje ya tz ni lazima utumie IATA REGURATION.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wafugaji wa hivyo vitoweo mahali popote pale Tz tuwasiliane kwa pm
niko tayari nikufuate popote pale ulipo ili mradi tu unithibitishie kama naweza kuwapata wasiopungua mia tano ila nahitaji zaidi ya mia tano.

Pia naomba wataalam washauri waniambie nawezaje kusafirisha hao viumbe wakiwa hai kwa umbali wa km 6000, ni chakula gani kitafaa, kama ntatumia usafiri wa track niwapakeji kwa kuwarundika pamoja au nitumie vibox nk.

Aksante.
Ukitaka kupata simbilisi wengi nenda sehemu za iringa..Mimi bibi Yangu alikuwa na simbilisi wasiopungua 2500 ..niliwafaidi sana maana ni watamu sana..sungura wanapatikana sana mikoa ya nyanda za juu kusini... maana kule kunaspecie nyingi za majani na mimea ambayo ni chakula cha wanyama...

ahsante mkuu ntafuatilia
 
Km 6000 unatokeza Afrika Magharibi!
Pandisha kwenye ndege.
 
Samahani kiongozi, eti simbilisi ndo pimbi?
 
Kwa wafugaji wa hivyo vitoweo mahali popote pale Tz tuwasiliane kwa pm
niko tayari nikufuate popote pale ulipo ili mradi tu unithibitishie kama naweza kuwapata wasiopungua mia tano ila nahitaji zaidi ya mia tano.

Pia naomba wataalam washauri waniambie nawezaje kusafirisha hao viumbe wakiwa hai kwa umbali wa km 6000, ni chakula gani kitafaa, kama ntatumia usafiri wa track niwapakeji kwa kuwarundika pamoja au nitumie vibox nk.

Aksante.
Ukitaka kupata simbilisi wengi nenda sehemu za iringa..Mimi bibi Yangu alikuwa na simbilisi wasiopungua 2500 ..niliwafaidi sana maana ni watamu sana..sungura wanapatikana sana mikoa ya nyanda za juu kusini... maana kule kunaspecie nyingi za majani na mimea ambayo ni chakula cha wanyama...

simbilisi ndio kwa jina lingine wanaitwa pimbi?
 
Kwa wafugaji wa hivyo vitoweo mahali popote pale Tz tuwasiliane kwa pm
niko tayari nikufuate popote pale ulipo ili mradi tu unithibitishie kama naweza kuwapata wasiopungua mia tano ila nahitaji zaidi ya mia tano.

Pia naomba wataalam washauri waniambie nawezaje kusafirisha hao viumbe wakiwa hai kwa umbali wa km 6000, ni chakula gani kitafaa, kama ntatumia usafiri wa track niwapakeji kwa kuwarundika pamoja au nitumie vibox nk.

Aksante.

Kifimboplayer

Nimeku-pm .... nimeanza hii project .... i hope your opportunity will suffice
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kusikia simbilisi ama wimbari. Ila nahisi nishawahi kumuita mtu pimbi.

Please mwenye picha ya simbilisi.
 
nje ya tz mkuu, naomba unipe utaratibu wake Dakamtumba
Kwanza umeshapata KIBALI cha kusafirisha(EXPORT PERMIT?)
Baada ya kupata export permit itakupasa kutafuta hearlth certificate(HC)
Kisha ndio unafanya utaratibu mwingine wa kuandaa parking boxes.
Binafsi naweza kukuandalia parking box za export ambazo utapaki 10-20hds each box.
pia naweza kukusaidia kupata cheap flight kutegemea unapeleka nchi gani.
na kama utaexport by air you do not need to put much foods for export,always you will need to feed them well before flying.
Bcoz if you put much food it will cost much money for paying more on freight charge.
About which boxes will you going to use for shipping please give me your whatssap no kisha ntakutumia mfanowe.
Bila hivyo huwezi kupandisha mzigo kwenye ndege.
box hizi zina gharama kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wafugaji wa hivyo vitoweo mahali popote pale Tz tuwasiliane kwa pm
niko tayari nikufuate popote pale ulipo ili mradi tu unithibitishie kama naweza kuwapata wasiopungua mia tano ila nahitaji zaidi ya mia tano.

Pia naomba wataalam washauri waniambie nawezaje kusafirisha hao viumbe wakiwa hai kwa umbali wa km 6000, ni chakula gani kitafaa, kama ntatumia usafiri wa track niwapakeji kwa kuwarundika pamoja au nitumie vibox nk.

Aksante.
Ukitaka kupata simbilisi wengi nenda sehemu za iringa..Mimi bibi Yangu alikuwa na simbilisi wasiopungua 2500 ..niliwafaidi sana maana ni watamu sana..sungura wanapatikana sana mikoa ya nyanda za juu kusini... maana kule kunaspecie nyingi za majani na mimea ambayo ni chakula cha wanyama...
Mkuu simbilisi ni nini? Weka picha tafadhali
 
Sijawahi kusikia simbilisi ama wimbari. Ila nahisi nishawahi kumuita mtu pimbi.

Please mwenye picha ya simbilisi.

Pimbi anafanana sana na sungura kwa.muonekano..
Ila yeye amekosa mkia tu...
Makazi yake mara nyingini kwenye mawe na vichaka/vichuguu... (Hapa ni kwa mujibu wa observation yangu ndani ya mbuga ya serengeti mwaka 2009-2012, bilila lodge/four seasons safari lodge)

menye info zaidi aweke hapa...
 
Mkuu simbilisi ni nini? Weka picha tafadhali

Simbilisi anafanana na panya kwa umbile,ila hana mkia, pia simbilisi hawako na sura moja ktk ngozi zao, wengine wana mabaka,wengine weusi, wengine weusi na weupe, wekundu na weusi kama ilivyo kwa mbuzi na ng`ombe.

Inawezekana hapa tukawa tunajadili mnyama mmoja ktk mazingira tofauti, kwa mfano, hivi wakati gani sungura huwa rabbit na wakati gani huwa Hare ?
 
Sungura ni alifugwa, hare ni sungura mwitu. I stand to be corrected.
 
Back
Top Bottom