Kwa wafugaji wa Sungura na Simbilisi

Kwa wafugaji wa Sungura na Simbilisi

Mi nafuga hawa wanyama.

Wanatumika kama kitoweo na scientific research.

Majina: PIMBI kwa wenyeji wa pwani....contravesial kwa kanda ya ziwa Pimbi ni kiumbe anapatikana kwenye miamba (greenstone belt) na anaitwa" rock hyrax"

SIMBILISI ni mikoa ya nyanda za juu kusini. anaitwa kwa kimombo" Guinea Pig" ingawa hana uhusiano na kitimoto.
 
Attachments

  • rock hyrax.jpg
    rock hyrax.jpg
    12.6 KB · Views: 651
  • guinea pig.jpg
    guinea pig.jpg
    8.8 KB · Views: 583
Simbilisi kwa kizungu ndo anaitwa GUINEA PIG
 
huyu mleta mada yupo wapi .... Simbilis ninao .... sungura pia ninao ..... nipo kwenye pilot project ....

nitajikita zaidi kwenye commercial rabbit farming .... nimeanza kutafuta masoko locally kwanza .... the future of the venture smells lucrative
 
Uko na breed gani?? Na unauza shillings ngapi????
 
Back
Top Bottom