Kwa wafugaji wa Sungura na Simbilisi

yutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1,668
Reaction score
1,017
Kwa wafugaji wa hivyo vitoweo mahali popote pale Tz tuwasiliane kwa pm
niko tayari nikufuate popote pale ulipo ili mradi tu unithibitishie kama naweza kuwapata wasiopungua mia tano ila nahitaji zaidi ya mia tano.

Pia naomba wataalam washauri waniambie nawezaje kusafirisha hao viumbe wakiwa hai kwa umbali wa km 6000, ni chakula gani kitafaa, kama ntatumia usafiri wa track niwapakeji kwa kuwarundika pamoja au nitumie vibox nk.

Aksante.
 
 
Kwenye parking inategemea unapeleka wapi.
Kama ni nje ya tz ni lazima utumie IATA REGURATION.
 
Last edited by a moderator:
 
Km 6000 unatokeza Afrika Magharibi!
Pandisha kwenye ndege.
 
Samahani kiongozi, eti simbilisi ndo pimbi?
 
 

Kifimboplayer

Nimeku-pm .... nimeanza hii project .... i hope your opportunity will suffice
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kusikia simbilisi ama wimbari. Ila nahisi nishawahi kumuita mtu pimbi.

Please mwenye picha ya simbilisi.
 
nje ya tz mkuu, naomba unipe utaratibu wake Dakamtumba
Kwanza umeshapata KIBALI cha kusafirisha(EXPORT PERMIT?)
Baada ya kupata export permit itakupasa kutafuta hearlth certificate(HC)
Kisha ndio unafanya utaratibu mwingine wa kuandaa parking boxes.
Binafsi naweza kukuandalia parking box za export ambazo utapaki 10-20hds each box.
pia naweza kukusaidia kupata cheap flight kutegemea unapeleka nchi gani.
na kama utaexport by air you do not need to put much foods for export,always you will need to feed them well before flying.
Bcoz if you put much food it will cost much money for paying more on freight charge.
About which boxes will you going to use for shipping please give me your whatssap no kisha ntakutumia mfanowe.
Bila hivyo huwezi kupandisha mzigo kwenye ndege.
box hizi zina gharama kidogo.
 
Last edited by a moderator:
 
Sijawahi kusikia simbilisi ama wimbari. Ila nahisi nishawahi kumuita mtu pimbi.

Please mwenye picha ya simbilisi.

Pimbi anafanana sana na sungura kwa.muonekano..
Ila yeye amekosa mkia tu...
Makazi yake mara nyingini kwenye mawe na vichaka/vichuguu... (Hapa ni kwa mujibu wa observation yangu ndani ya mbuga ya serengeti mwaka 2009-2012, bilila lodge/four seasons safari lodge)

menye info zaidi aweke hapa...
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…