Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,646
Kuanzia kesho kutwa najipa majukumu ya ushushushu kufuatilia nyendo zenu,utafiti nilo ufanya unaonyesha lobo ya wageni mnao kuja ni wale mnao kuwa na Id zaidi ya moja.kwa member wa zamani na wapya ambao mnauchungu na jf mnaweza kuni pm ili tuungane na tuunde ulinzi shirikishi. Pia hapa mlangoni mnapoingilia tutaweka mtambo (kitu kama poll)utakao kuwa una wahoji afu majibu yenu tunayapata moja kwa moja na tunayafanyia kazi na kubaini ukweli wa mgeni.NAJUA WENYEJI WENGI MNAJUA UBAYA WA KUWA NA ACCOUNT NYINGI,WENGI WANAZITUMIA KUFANYIA UHARIBIFU.1 kutukana wenzao,kukashifu,