Kwa wageni wote.

Kwa wageni wote.

JF ni mtandao wa kijamii unaokizi vigezo vyote hasa katika kuelimisha,najuta sijui ni kwanin nilichelewa kujiunga.Nawashukuru pia wote mnaojitolea muda wenu katika kuelimisha.Thanx
 
Muwe mnasoma kwanza mada kabla ya ku-comment..... Slave hawa nao tuwaweke kundi gani....(joking) hahahaaah!!!

hahaha wamesema nao ni ntu afu mwingine akasema kuna ntu na ntu,huku mwingine akisema kwani yeye sio ntu?????? hapo naona kazi imenishinda Katavi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom