Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
sijakuelewaStop rub the lump mummy....stress zitayeyuka na usingizi utaupata.
chukua ndizi mbili mbivu,kata vipande vidogodogo ,weka maji level ya hzo ndizi kwenye sufuria ,chemsha dakika 15
kunywa hayo maji
kalale baada ya dakika 20
utashtuka kesho saa nne
mimi imenisaidia maana stress hizi nilikuwa silali kabisa
asante ndugu acha wabishi waendelee kuropokaShukran sana ndungu,hili tatizo nimeifanya aafya yangu kuteteleka kabisa....rgds.
ndio mkuuNatafuta hii bado Inafanya kazi?
haziishiDakika kumi na tano hizo ndizi zinaishia jikoni nazo