Kwa wagonjwa wa kukosa usingizi soma hapa

Kwa wagonjwa wa kukosa usingizi soma hapa

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
chukua ndizi mbili mbivu,kata vipande vidogodogo ,weka maji level ya hzo ndizi kwenye sufuria ,chemsha dakika 10
kunywa hayo maji
kalale baada ya dakika 20
utashtuka kesho saa nne
mimi imenisaidia maana stress hizi nilikuwa silali kabisa
 
Stop rub the lump mummy....stress zitayeyuka na usingizi utaupata.
 
Hii kweli inafanya kazi coz mara nyngi nikil ndzi mbivu 1 usiku napat usingzi mwingi ghafla.
 
nashukuru kwa ushauri wako maana janga la kukosa usingizi ni ugonjwa mbaya sana na unafanya hata afya ya mtu inakuwa dhaifu.ngoja mimi nijaribu na kwa uwezo wa Muumba atanisaidia
 
Shukran sana ndungu,hili tatizo nimeifanya aafya yangu kuteteleka kabisa....rgds.
 
chukua ndizi mbili mbivu,kata vipande vidogodogo ,weka maji level ya hzo ndizi kwenye sufuria ,chemsha dakika 15
kunywa hayo maji
kalale baada ya dakika 20
utashtuka kesho saa nne
mimi imenisaidia maana stress hizi nilikuwa silali kabisa

Natafuta hii bado Inafanya kazi?
 
Back
Top Bottom