Pre GE2025 Kwa wahandisi kumnunulia rais Samia helicopter na 100,000,000/= je ni kwasababu ya kutowabana wahandisi kwenye miradi ya Umma?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Kwanza wahandisi hawa wamejuaje nia ya ra rais kugombea urais, nijuavyo hadi sasa rais Samia hajatangaza nia ya kugombea urais 2025.

Pili, zawadi hii ina maanisha nini hasa kwa watanzania? Barabara na majengo mengi yanajengwa kwa kiwango cha chini sana na ufuatiliaji wa ubora wa kazi za wahandisi kipindi cha utawala wa rais Samia umekuwa mdogo sana. Nadhani hii ndio sababu ya wahandisi kumzawadia rais Samia helcopter na sh milioni 100 za mafuta.

Tatu, wahandisi wameonesha upeo wao mdogo kwenye siasa na nia yao ovu ya kuendelea kupenda kunufaika kupitia uongozi usiowabana na kuwadai kazi zenye ubora.

Hizi ndizo hongo za kisiasa zinazotolewa na watu wa kada mbalimbali zinazofaidika moja kwa moja na uzembe au ubadhirifu wa fedha za Mtanzania maskini. Inasikitisha mno!

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-
 
Kwanza wahandisi hawa wamejuaje nia ya ra rais kugombea urais, nijuavyo hadi sasa rais Samia hajatangaza nia ya kugombea urais 2025.

Pili, zawadi hii ina maanisha nini hasa kwa watanzania? Barabara na majengo mengi yanajengwa kwa kiwango cha chini sana na ufuatiliaji wa ubora wa kazi za wahandisi kipindi cha utawala wa rais Samia umekuwa mdogo sana. Nadhani hii ndio sababu ya wahandisi kumzawadia rais Samia helcopter na sh milioni 100 za mafuta.

Tatu, wahandisi wameonesha upeo wao mdogo kwenye siasa na nia yao ovu ya kuendelea kupenda kunufaika kupitia uongozi usiowabana na kuwadai kazi zenye ubora. Ni Tanzania tu utaona upuuzi huu.

Hizi ndizo hongo za kisiasa zinazotolewa na watu wa kada mbalimbali zinazofaidika moja kwa moja na uzembe au ubadhirifu wa fedha za Mtanzania maskini. Inasikitisha mno!
 
Kwanza wahandisi hawa wamejuaje nia ya ra rais kugombea urais, nijuavyo hadi sasa rais Samia hajatangaza nia ya kugombea urais 2025.

Pili, zawadi hii ina maanisha nini hasa kwa watanzania? Barabara na majengo mengi yanajengwa kwa kiwango cha chini sana na ufuatiliaji wa ubora wa kazi za wahandisi kipindi cha utawala wa rais Samia umekuwa mdogo sana. Nadhani hii ndio sababu ya wahandisi kumzawadia rais Samia helcopter na sh milioni 100 za mafuta.

Tatu, wahandisi wameonesha upeo wao mdogo kwenye siasa na nia yao ovu ya kuendelea kupenda kunufaika kupitia uongozi usiowabana na kuwadai kazi zenye ubora.

Hizi ndizo hongo za kisiasa zinazotolewa na watu wa kada mbalimbali zinazofaidika moja kwa moja na uzembe au ubadhirifu wa fedha za Mtanzania maskini. Inasikitisha mno!
Pesa walizoiba zinafanya return
 
Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Wahandisi hawawezi kununua ndege(copter) hiyo tumepigwa na jimama halafu hao wanatumika tu ionekane hivyo
 
Kama ni kweli wamemnunulia na yeye akakubali basi itakuwa tuna rais wa hovyo kuwahi kutokea tz anakubali rushwa ili aje aimalizie kuiuza Nchi Kwa hao wahandisi.tumepata rais kichaa.
Kabisa!
 
CCM walichokifanya.
2613143_1605032646884.jpg
 
Chawa hao wanatengeneza mazingira ya kupewa tenda za serikali.
 
Back
Top Bottom