Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mil 100 za wese mkulu, somaga ukaelewa.Kumbe heli kopta hazina bei tzs mil 100 tu
Inatakiwa wachuguzwe pesa pesa nyingi kama hizo wamezitoa wapi, na wanataka nini na mama atazirudishaje. Naomba kuuliza kwani Kuna biashara Gani ikulu? wahandisi wanataka kumuweka mama mfukoni?Kwanza wahandisi hawa wamejuaje nia ya ra rais kugombea urais, nijuavyo hadi sasa rais Samia hajatangaza nia ya kugombea urais 2025.
Pili, zawadi hii ina maanisha nini hasa kwa watanzania? Barabara na majengo mengi yanajengwa kwa kiwango cha chini sana na ufuatiliaji wa ubora wa kazi za wahandisi kipindi cha utawala wa rais Samia umekuwa mdogo sana. Nadhani hii ndio sababu ya wahandisi kumzawadia rais Samia helcopter na sh milioni 100 za mafuta.
Tatu, wahandisi wameonesha upeo wao mdogo kwenye siasa na nia yao ovu ya kuendelea kupenda kunufaika kupitia uongozi usiowabana na kuwadai kazi zenye ubora.
Hizi ndizo hongo za kisiasa zinazotolewa na watu wa kada mbalimbali zinazofaidika moja kwa moja na uzembe au ubadhirifu wa fedha za Mtanzania maskini. Inasikitisha mno!
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-
???Una uhakika kweli ni wao wamempa?
Ukiskia mtu anasema mama anaupiga mwingi ujue huyo kuna sehemu anamzidi mama akili
Rushwa pure and simple, Samia asipokee hongo hii,Kwanza wahandisi hawa wamejuaje nia ya ra rais kugombea urais, nijuavyo hadi sasa rais Samia hajatangaza nia ya kugombea urais 2025.
Pili, zawadi hii ina maanisha nini hasa kwa watanzania? Barabara na majengo mengi yanajengwa kwa kiwango cha chini sana na ufuatiliaji wa ubora wa kazi za wahandisi kipindi cha utawala wa rais Samia umekuwa mdogo sana. Nadhani hii ndio sababu ya wahandisi kumzawadia rais Samia helcopter na sh milioni 100 za mafuta.
Tatu, wahandisi wameonesha upeo wao mdogo kwenye siasa na nia yao ovu ya kuendelea kupenda kunufaika kupitia uongozi usiowabana na kuwadai kazi zenye ubora.
Hizi ndizo hongo za kisiasa zinazotolewa na watu wa kada mbalimbali zinazofaidika moja kwa moja na uzembe au ubadhirifu wa fedha za Mtanzania maskini. Inasikitisha mno!
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-
Asipokee mali yake???Rushwa pure and simple, Samia asipokee hongo hii,