Wote mliotoa mawazo yenu, sioni Mhasibu hata mmoja. Wote nawaona kama si wachumi basi ni makarani wa wahasibu.
Nyumba yako ni MALI (ASSET), regardless umeipataje maadamu ni kwa njia halali.
1. Ukikopa pesa za kununulia nyumba, Liability ni lile deni unalodaiwa sio nyumba yako.
2. Ukikopa pesa na kuweka hati ya nyumba yako rehani, bado nyumba yako ni ASSET. Liability itakuwa ni hilo deni unalodaiwa.
Wahasibu watambue kuwa wakati wowote, ASSET IS EQUAL TO LIABILITY.
Thamani ya nyumba yako as ASSET is equal to Liability(vyanzo vya pesa ya kununulia hiyo nyumba)
Issue ya depreciation au appreciation have nothing to do with a house being an asset or not.