WHETHER ni ASSET or LIABILITY, for me it doesn't matter! By the way, am not an Accountant but Economist...therefore, i'll explain or put my advice from economic point of view.
Tuseme una nyumba yako mzuri tu na tena kubwa maeneo ya Tegeta. Unaishi mwenyewe na familia yako na ndugu zako wasio na kazi yoyote hapa mjini lakini wapo tu kwavile nyumba ya bure ipo! Hakuna any economic activity inayofanyika hapo nyumbani inayotokana na mazingira ya nyumba husika....say, ufugaji au kilimo. Pamoja na yote hayo, bado nyumba yako ungeweza kupangisha kwa pango (say) la TSZ 6M/year, yaani TZS 500,000/= kwa mwezi. In contrast, let's say maeneo tulivu sawa na Tegeta kama vile Mtoni Kijichi unaweza kupata nyumba ya kuishi comfortably, wewe na familia yako kwa pango la Sh. 300,000/= kwa mwezi. Lakini pamoja na yote hayo, bado una-opt kukaa kwenye nyumba yako ambayo endapo unge-opt kupangisha na kwenda kuishi Kijichi basi ungepata extra income ya TZS 2.4M per year.....basi hapo aliye liability kwa mwenzake ni wewe na hiyo familia yako na wala sio hiyo nyumba! Yaani wewe na familia yako si liability kwa hiyo nyumba tu bali ni LIABILITY hata kwa taifa.