Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 667
- 1,582
Kwa Wahenga wenzangu ambao tulikua miaka 1990s wakati huo kuna ITV na ITV 2, Cheka na CTN kulikuwa na muigizaji wa kwanza hapa Bongo
Alikuwa akiigiza Ana kigugumizi na tumbo kubwa na pia kwa miaka hiyo alikuwa akiimba Taarabu
Huyu jamaa alifariki mapema akiwa kwenye ubora wake kama ilivyokuwa kwa Sharomilionea na Kanumba na Max
Kwa wanaomkumbuka alikuwepo kwenye Igizo la Masai na Ng’ombe zao akiigiza kama jini
Miaka ya 90 imezidi kuwa mbali kuliko 2024 kufika 2050