Kwa Wahenga tuu....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Holla people,

I know it's Monday the start of a week, people are busy working on their offices and businesses.

But for Kasie the weekend is still going on.... am still celebrating, enjoying and dancing. Uuuhhhh laa laa laah...... let's go dancing uuh laa laa laah.


For my fellow Wahenga, let's go dancing and singing uuh lalalaaah. ...
Kasie Mahaba.
 
Nimeona Monday nikajua umemfungulia uzi Mondray..
 
ikiisha hiyo weka na ya madona la isla bonita.. ikifuatiwa na holiday bila kusahau billie jean yake michael jackson na OKAMAN ya monique seka.. lkn mimi si muhenga ila nimekaa karibu na wahenga😱
 
shida ama raha jaman

naona unaona kinyume mkuu, mumewe ana raha sana

No nimeona kwa approach aliyoitumia kuna wakati mumewe hujieleza hata kabla hajaulizwa ulipita wapi leo.

Then connect na alichomjibu joseverest
 
No nimeona kwa approach aliyoitumia kuna wakati mumewe hujieleza hata kabla hajaulizwa ulipita wapi leo.
hahahahahhaha ndio tunataka sasa.

Acha mjieleze tu hakuna namna

wewe huelezi kwani? nimecheka sana duuuh
 
Yaani hawezi kuni trick na hata kama akiuliza swali la trick nitamzungushazungusha weee hadi alewe kama mbu.
umenikumbusha mbali sana, unajua mie mchaga bhana acha nijitambulishe, sasa kule kwetu wanaume hawakubali kushindwa, akiona karibia anashindwa anaomba achomewe ndizi.

kama wewe ni mchaga utanielewa kuchomewa ndizi hapo kunamaanisha nini.

teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…