Kwa Wahenga tuu....

Kwa Wahenga tuu....

ikiisha hiyo weka na ya madona la isla bonita.. ikifuatiwa na holiday bila kusahau billie jean yake michael jackson na OKAMAN ya monique seka.. lkn mimi si muhenga ila nimekaa karibu na wahenga😱

Wacha maneno weka muziki.......

Happy singing uuuhhhh laa laa laah. ....
Kasie is dancing oooh ooh laa laa laah. ..
 
umenikumbusha mbali sana, unajua mie mchaga bhana acha nijitambulishe, sasa kule kwetu wanaume hawakubali kushindwa, akiona karibia anashindwa anaomba achomewe ndizi.

kama wewe ni mchaga utanielewa kuchomewa ndizi hapo kunamaanisha nini.

teh teh

Joseveret hivi ulifanikiwa kuomba kuchomewa ndizi kweli?
Kama ulishindwa basi chukua maujanja hayo hapo juu.
 
Holla people,

I know it's Monday the start of a week, people are busy working on their offices and businesses.

But for Kasie the weekend is still going on.... am still celebrating, enjoying and dancing. Uuuhhhh laa laa laah...... let's go dancing uuh laa laa laah.



For my fellow Wahenga, let's go dancing and singing uuh lalalaaah. ...
Kasie Mahaba.


Kasie naomba unichezee kibao cha bonita kiwafikie wahenga wooote popote pale walipo bila kumsahau sura mbili kiango ngonyani na preta.
 
Kasie naomba unichezee kibao cha bonita kiwafikie wahenga wooote popote pale walipo bila kumsahau sura mbili kiango ngonyani na preta.

Please forward your request to Mr. DJ, for the time being, enjoy Kasie's dance.
 
Mhh, kula raha J3 si bure!

Reggae dance uuuhhhh lalalaaah

Go back to formula 1.... you'll get the answer for one to extend the weekend.
And for Kasie the weekend is still on....
 

Hiyo ilikuwa kwa Monday basi hii kwa Tues.
 
Back
Top Bottom