Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
True mkuu sio vijana wa sasa hivi wanaleta mapozi[emoji23] [emoji23] enzi hizo muziki ukiwa muziki haswaaa
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
ikiisha hiyo weka na ya madona la isla bonita.. ikifuatiwa na holiday bila kusahau billie jean yake michael jackson na OKAMAN ya monique seka.. lkn mimi si muhenga ila nimekaa karibu na wahenga😱
Mkuu naona unataka utie nanga,unanusa hatari [emoji23]Nimeona Monday nikajua umemfungulia uzi Mondray..
umenikumbusha mbali sana, unajua mie mchaga bhana acha nijitambulishe, sasa kule kwetu wanaume hawakubali kushindwa, akiona karibia anashindwa anaomba achomewe ndizi.
kama wewe ni mchaga utanielewa kuchomewa ndizi hapo kunamaanisha nini.
teh teh
Holla people,
I know it's Monday the start of a week, people are busy working on their offices and businesses.
But for Kasie the weekend is still going on.... am still celebrating, enjoying and dancing. Uuuhhhh laa laa laah...... let's go dancing uuh laa laa laah.
For my fellow Wahenga, let's go dancing and singing uuh lalalaaah. ...
Kasie Mahaba.
Wacha maneno weka muziki.......
Happy singing uuuhhhh laa laa laah. ....
Kasie is dancing oooh ooh laa laa laah. ..