Kwa wahitaji wa mwalimu wa Physics

Kwa wahitaji wa mwalimu wa Physics

John sky

Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
34
Reaction score
1
Kwa yeyote anaehitaji mwalimu wa PHYSICS,mwenye uzoefu wa kufundisha somo hilo kwa vipind tofauti tofauti ndani ya miaka miwili,ana diploma ya UWALIMU(PHYSICS & MATHS),Atapatikana Dar kuanzia tarhe 20/5/2015.kwa mawasiliano zaid pga 0753157624
 
Ukiwa na uhitaj pga hyo namba,mwalm atakua yupo free! hatakua na kaz yoyte!
 
Kwa yeyote anaehitaji mwalimu wa PHYSICS,mwenye uzoefu wa kufundisha somo hilo kwa vipind tofauti tofauti ndani ya miaka miwili,ana diploma ya UWALIMU(PHYSICS & MATHS),Atapatikana Dar kuanzia tarhe 20/5/2015.kwa mawasiliano zaid pga 0753157624

kijana, unatafuta 'tempo' au unajitangaza kama mwalimu wa 'twisheni'.
fafanua zaidi.
 
Kwa yeyote anaehitaji mwalimu wa PHYSICS,mwenye uzoefu wa kufundisha somo hilo kwa vipind tofauti tofauti ndani ya miaka miwili,ana diploma ya UWALIMU(PHYSICS & MATHS),Atapatikana Dar kuanzia tarhe 20/5/2015.kwa mawasiliano zaid pga 0753157624
Bado unapatikana kwa somo la Physics?
 
Kwa yeyote anaehitaji mwalimu wa PHYSICS,mwenye uzoefu wa kufundisha somo hilo kwa vipind tofauti tofauti ndani ya miaka miwili,ana diploma ya UWALIMU(PHYSICS & MATHS),Atapatikana Dar kuanzia tarhe 20/5/2015.kwa mawasiliano zaid pga 0753157624

kk mcheki uyo wa Bukoba mkurugenz....pamoja sana
 
Back
Top Bottom