John120
Senior Member
- Jun 13, 2021
- 139
- 281
Kwanza nawapongeze wote mliosoma course yenye fursa nyingi popote dunian kama kama hii.
Lakini course hii inahitaji watu wenye nia ya kujifunza na kujua vitu vingi sana vilivyo ndani yake.
Bahati mbaya wahitimu wengi wamekuwa wahanga wa kutembeza vyeti kutafuta kazi ingali wanavitu vichwani mwao.
Mbaya zaidi vyeti na GPA vimekuwa vikiwadanganya kuwa ni bora zaidi kuliko kuwa na ujuzi...
Naomba niwakumbushe vyeti ni sawa na karatasi nyingine yoyote ile iliyoko kabatini.
Cha msingi tujikie kwenye ujuzi zaidi
Kwa wale watakuwa tayari kujifunza na kujitegemea baade nitatoa mafunzo:
1.Arc welding machine design
2.Motor rewinding
3.welding and fabrication
N.k.....