Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,273
Kwa waratibu wa kampeni ya Mh. Slaa katika kugombea Urais 2010,
Napenda kuwajulisha tu kuwa nina wazo lililonijia katika siku chache zilizopita ambalo nina amini linaweza kusaidia katika kampeni za urais kwa Mh. Slaa. Ni wazo ambalo ningependa kuongea na wahusika katika kampeni kabla ya kuliweka hadharani mtandaoni.
Basi, kama kuna anayehusika kwa ukaribu na angelipenda nimweleze, naomba awasiliane nami kwa PM hapa JF.
Angalizo 1: Sitajibu PM nitakazo ona ni upotezaji wa muda. PM zote zinukuliwe kwa Invisible, Silencer, Farida, Maxence Melo na PainKiller.
Angalizo 2: Natoa mawazo yangu kusaidia kampeni ya Dr. Slaa kutokana na kumkubali kwangu kwa hoja alizosimamia bungeni. Nikiwa si mwanachama hai wa chama chochote kile cha siasa, mawazo haya niliyonayo ningeliweza kumpatia mgombania urais yeyote yule ambaye ningelikubaliana na rekodi yake kwenye kutetea maendeleo ya Taifa letu.
Natanguliza shukrani zangu.