Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 146
- 351
Wakuu na waachia Fatwa
azikwa leo saa kumi hii jioniKtk uislam Huyu mzee anatikwa azikwe lini? Ila uhalisia wa mazishi yake utakuwa lini?
Ukipata jibu nitagi
rais hapangiwi
Kwa mujibu wa dini ya kiislam au hii ndio ratiba halisi kuwa mazishi ni leo?azikwa leo saa kumi hii jioni
Mbona naskia washamaliza hukoKtk uislam Huyu mzee anatikwa azikwe lini? Ila uhalisia wa mazishi yake utakuwa lini?
Ukipata jibu nitagi
Oh asante kw taarifa. Hakuna hata clip? Au ni private a.k.a family matters?Mbona naskia washamaliza huko
Majukumu ya kikazi katika utumishi yanasemaje???