Kwa Waislamu mke akifiwa na mume anatakiwa kukaa eda miezi 4 (siku 130), sasa itakuwaje?

Kwahiyo tutakuwa tunaongozwa na Ndejembi kipindi hiki? Ila watz hatuko serious, kama yeye ndo atashika kiti Rais asipokuwa fit kuendelea kushika nafasi hiyo?🤔
 
Nyie watu ni wajinga sana wakati mwingine,kanuni za utumishi wa umma ziko wazi kabisa ambapo hazijali wewe ni muislamu au mkristo au mpagani
 
Naona kama makamu anaenda kuwa mkuu wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…