Nitakuwa mtovu wa fadhila kama nikishindwa kuwashukuru ndugu zangu waislamu hasa majirani zangu.Kipindi chote cha mfungo ukarimu nilioushuhudia ni wa ajabu,kuanzia huduma ya tende na harua(sijui kama nimepatia) mpaka chakula mseto,kiukweli ile hali ya upweke kwa sababu ya ubachelor ilipotea kwa muda,ila kuanzia jana dah!
Halwaa (sweet).yah....sio harua ni halua....
Halwaa (sweet).
yah....sio harua ni halua....
Halwaa (swee)taratibu
Njoo msikitini leo kwenye sala ya Ijumaa kazi itakuwaimesha na utanza kuitwa Asha balada ya Ma..g.thHata mimi nimefuturishwa sana tu hadi nimeongezeka uzito bwana KIDOGO WANISILIMISHE KABISA YAANI DAH