Kwahiyo tayari unayo mawazo ya kufanya biashara inategemea hayo mawazo yanahusu nini ?, just biashara as biashara au biashara fulani kulingana na opportunity ulizoziona na unajua kwamba zitalipa. kwahiyo ni nini kifuate !!??? (swali juu ya swali)
Ofcourse huwezi kuanza bila mtaji unless unaweza ukafanya mali kauli yaani unakopa bidhaa na kuzifanyia kazi alafu ndio unalipa.., mtaji ni bottleneck ambayo itakuwa ni limit kwako unaweza kufanya nini..?, ila sio lazima upate mtaji wote unaweza kuanza kidogo kidogo hatua kwa hatua na wewe unakua kulingana na mtaji unavyokua ukisubiri upate pesa zote huenda usiweze kuanza kabisa.
Kufikiria ni jambo muhimu sana planning is very important "People dont plan to fail they fail to plan" na "if you dont plan where you are going any road will take you there"..., hivyo basi kama haujafikiria cha kufanya lazima kwanza ufikirie A to Z ila nadhani hii utakuwa ulishanfanya kwenye swali lako
Kuhusu location; location haikusubiri kama utaipata kwa urahisi ni bora uichukue chap chap na kufanyia kazi mtaji pia kumbuka maisha ya sasa hayaitaji kufikiria biashara ndio utafute opportunity bali ukiona opportunity ifanyie kazi pale pale..."Opportunity Never Comes Twice.." inabidi kuact instantly..., wewe ukiona sehemu fulani unaweza kuuza sana nyanya usingoje kwanza mpaka uanze kuwaza na kuwazua wewe chukua meza weka nyanya zako na uanze kuuza.
Mhh hapa utakuwa umeweka "a cart infront of a horse" sasa utajuate ni location gani unayotafuta ?
Unless upo kwenye biashara ya real estate ya kutafuta location na kuuza ila kumbuka location yoyote ambayo ipo karibu na watu ni mali sana ikipatikana hii chukua tu huwezi kukosa kazi ya kuifanyia worse case scenario utajenga frame au duka na kukodisha watu
Hapana Shukrani wewe kwa swali zuri 🙂