Kwa Wajasiriamali wadogo na wanao inukia wanahitaji mno kuwekeza kwenye Daily Income Business

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Kuna Model mbalimbali za biashara hasa ukija kwenye Sales.

Kwenye Salesa kuna Sales za kila siku na kuna za kila wiki an mwezi au miezi 6 au Mwaka.

MFANO
Wale wanao uza Magari hawana Daily sales au Daily income kwa sababu inaweza pita hata miesi 8 gari halijuauzwa au basi miezi 2.

CAT - Wale wanao uza Magreda jamaa wanaweza kata Mwaka au miezi 9 hawaja uza ila wakija kuuza hiyo pesa inaweza wasastain mwaka mzima.

Hii Model ni kwa Makampuni makubwa sana na ambyo single sales yao ina impact kubwa mno.

Kwa wajasirimali wadogo kwakweli Model ya aina hii ni ngumu sana.

Wajasirimali wanao inukia wanahitaji sana Daily sales or Daily income na ikienda sana bashi weekly or Monthly limit y mwisho kabisa.

Still hata Monthly sales ina changamoto kubwa mno na wengi hushindwa kabisa kuhimili kusubilia sales ya mwezi.

BIASHARA

Inahitajika sana akili kujua sasa ni ipi ni Daily sales au ni ipi ni ya kuuza hata ndani ya mwezi au mwaka. Na some time hata Zile biashara ambazo ni Daily kuna wakati hubadilika na kuwa monthly sales

MFANO
Una duka la kuuza sufuria inaweza oita wiki 2 hadi 4 hujauza sufuria hata moja.

Unaduka la nguoa some time wiki inapita hujauza nguo hata moja na ukija kuuza saa zingine hilo pato halitoshi kusustain wiki nzima au mbili.

Hivyo basi ni vizuri sana kujikita kwenye Biashara za Daily sana kabla ya kuhama kwenda kwenye zile za mwezi au hata mwaka.

Na Zile Za Mwaka au hata Miezi mara nyingi hata Oparating cost zao ziko chini sana.

Mfano, Angalia wanao uza Magari Ofisi ina mfanyakazi mmoja tu.

NB: Biashara kama ya Ufugaji kuku kwa wenye vipato vidogo siwashauri waifanye kwa sababu kuna hapo katikati hakuna unacho ingiza.

Ingawa baadae unapo anza kuuza mayai basi huanza kupokea Daily income.

Na kwa biashara ya Kuangulisha na kuuza vifaranga ile ndo manya mno kwa wenye mitaji midogo ile ni pure Monthly au Weeklly kadhaa sales.

Kampuni kama INTERCHICK hawana dailly sales wana Sales ya baada ya wiki 1 Sasa kwa mfugaji mdogo anapata shida sana hapo.

Na some time hizi Kampuni kama Interchick wanameanza hata kuuza kuku walichinjwa ili basi tu wawe na Daily sales na wasitegemee ile ya wiki
 
Nimekuelewa sana mkuu.
Na ndio maana mm kabla sijaanza kufanya biashara kubwa nimeanza na kununua bodaboda ziniletee hela za kila siku.
 
kuna biashara inadharaulika sana but kwa sisi tunaoish uswahilini tunaona jinsi wanaoifanya wanavyopiga kazi,ni kuuza vichwa,utumbo na miguu ya kuku, 😁 hii haina haja ya kukod flemu ni pemben tu ya kibaraba cha mtaani,kwa siku unaeza jikuta unalaza 20 hivi hivi
 
kuna biashara inadharaulika sana but kwa sisi tunaoish uswahilini tunaona jinsi wanaoifanya wanavyopiga kazi,ni kuuza vichwa,utumbo na miguu ya kuku, [emoji16] hii haina haja ya kukod flemu ni pemben tu ya kibaraba cha mtaani,kwa siku unaeza jikuta unalaza 20 hivi hivi
Kweli aisee Nina sister wangu ndio biashara yake aliyoizoea miaka mingi sana.
Analipia kodi ya nyumba,anasomesha watoto n.k.
Enzi ya JK alikuwa anauza hata kuku 15 au 20 kwa siku.
Na alikuwa kila siku faida yake Ni zaid ya 30.
Ila Sasa hv mauzo kdogo yameshuka lkn hawez kuiacha.
Maana zaman nilikuwa namshawishi aiache nikawa kila nikimpa mtaji afungue biashara zingine akawa anachemka zinafirisika.
Nikagundua kumbe ile biashara ndio ina uhakika zaid kwake kuliko zingine.
Basi baada ya kugundua Hilo nmemuacha tu aendelee nayo.
 
Hiyo biashara uhakika sana,uswahilini huku tunafanya kuweka order kabisa kwa mama Havintishi mana ukichelewa tu hukuti kitu
 
Kweli aisee Nina sister wangu ndio biashara yake aliyoizoea miaka mingi sana.
Analipia kodi ya nyumba,anasomesha watoto n.k.
Enzi ya JK alikuwa anauza hata kuku 15 au 20 kwa siku.
Na alikuwa kila siku faida yake Ni zaid ya 30.
Ila Sasa hv mauzo kdogo yameshuka lkn hawez kuiacha.
Maana zaman nilikuwa namshawishi aiache nikawa kila nikimpa mtaji afungue biashara zingine akawa anachemka zinafirisika.
Nikagundua kumbe ile biashara ndio ina uhakika zaid kwake kuliko zingine.
Basi baada ya kugundua Hilo nmemuacha tu aendelee nayo.

Yaani unasema enzi ya mwl Nyerere alikuwa anapata faida ya 30, au plus na bado sasa hivi amepanga analipa kodi. Sasa hata yeye ni .......,:
 
Naongelea enzi ya JK.
Kupanga ni hobby ya mtu mkuu.
Katika maisha kila mtu ana kipaumbele chake ambacho kinamfanya asipate usingizi.
Na kingine huyo ndugu yangu matumizi yake ni makubwa kutokana na majukumu aliyonayo so siwez kumlaumu kwa kuendelea kupanga.
Angekuwa ni msichana mdogo ambaye hajaanza majukumu ingekuwa rahisi kufanya saving.
 
hivi kichwa cha kuku unakilaje asee?,bora hizo miguu,lakini nazo hazinaga nyama sasa sijui zina radha ipi,utumbo nao asee...
 
Kabsa mkuu m mwenyewe nataka niweke bodaboda kwanza alafu ndo nianze biashara kubwa maana ukiangalia kwa wafanyakazi wengi kinachotatza mshahara huohuo kula na huoa huo ndo kila kitu

Back
Top Bottom