CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kuna Model mbalimbali za biashara hasa ukija kwenye Sales.
Kwenye Salesa kuna Sales za kila siku na kuna za kila wiki an mwezi au miezi 6 au Mwaka.
MFANO
Wale wanao uza Magari hawana Daily sales au Daily income kwa sababu inaweza pita hata miesi 8 gari halijuauzwa au basi miezi 2.
CAT - Wale wanao uza Magreda jamaa wanaweza kata Mwaka au miezi 9 hawaja uza ila wakija kuuza hiyo pesa inaweza wasastain mwaka mzima.
Hii Model ni kwa Makampuni makubwa sana na ambyo single sales yao ina impact kubwa mno.
Kwa wajasirimali wadogo kwakweli Model ya aina hii ni ngumu sana.
Wajasirimali wanao inukia wanahitaji sana Daily sales or Daily income na ikienda sana bashi weekly or Monthly limit y mwisho kabisa.
Still hata Monthly sales ina changamoto kubwa mno na wengi hushindwa kabisa kuhimili kusubilia sales ya mwezi.
BIASHARA
Inahitajika sana akili kujua sasa ni ipi ni Daily sales au ni ipi ni ya kuuza hata ndani ya mwezi au mwaka. Na some time hata Zile biashara ambazo ni Daily kuna wakati hubadilika na kuwa monthly sales
MFANO
Una duka la kuuza sufuria inaweza oita wiki 2 hadi 4 hujauza sufuria hata moja.
Unaduka la nguoa some time wiki inapita hujauza nguo hata moja na ukija kuuza saa zingine hilo pato halitoshi kusustain wiki nzima au mbili.
Hivyo basi ni vizuri sana kujikita kwenye Biashara za Daily sana kabla ya kuhama kwenda kwenye zile za mwezi au hata mwaka.
Na Zile Za Mwaka au hata Miezi mara nyingi hata Oparating cost zao ziko chini sana.
Mfano, Angalia wanao uza Magari Ofisi ina mfanyakazi mmoja tu.
NB: Biashara kama ya Ufugaji kuku kwa wenye vipato vidogo siwashauri waifanye kwa sababu kuna hapo katikati hakuna unacho ingiza.
Ingawa baadae unapo anza kuuza mayai basi huanza kupokea Daily income.
Na kwa biashara ya Kuangulisha na kuuza vifaranga ile ndo manya mno kwa wenye mitaji midogo ile ni pure Monthly au Weeklly kadhaa sales.
Kampuni kama INTERCHICK hawana dailly sales wana Sales ya baada ya wiki 1 Sasa kwa mfugaji mdogo anapata shida sana hapo.
Na some time hizi Kampuni kama Interchick wanameanza hata kuuza kuku walichinjwa ili basi tu wawe na Daily sales na wasitegemee ile ya wiki