Kwa wajasirimali, Mwaka 2013 uwe mwaka wa Action zaidi kuliko Matendo

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Wakuu heshima kwenu, Naungana na nyie kusherekea mwaka mpya wa 2013, na kwa wajasirimali huu ni wakati au ni mwaka wa Vitendo zaidi, ni Bora sasa maneno yakaachwa pembeni, make kila kitu kisha zungumzwa humu na kilicho bakia ni vitendo kwenda mbele,

Kwa triend ya Biashara duiniani the more siku zinavyo enda ndo the more competition ya biashara inavyo kuwa ngumu sana, na si competition ya ndani ya nchi tu bali ni kushindana na nchi za East Africa, Kushindana na SADC, kushindana na Nchi za Asia kama China, India na zinginezo na Nchi za Ulaya na MAREKANI,

Kwa sasa nchi nyingi kama za Ulaya na Marekani na hata Asia yaani China na India, wafanya biashara wengi sana wanahamishia mitaji yao Africa ambapo ndo baado hakujawa na Competition kubwa sana, na kikubwa hata wao wanakwenpa ushindani uliko kwao, so hao waote wana kuja ili wajasirimali wa Tanzania Tushindane nao, na hata Wachina tunao waona mitaani si kwamba ipo siku wataondoka bali ndo wanazidi kuja kwa hiyo kilichopo ni kufaight ta si kulalaimia wakati wao wakiendelea kupiga pesa

SO MWAKA HUU NI MWAKA WA VITENDO ZAIDI
 
mkuu .... umesomeka

tunataka ma-idea yamwagwe hapa jf na yafanyiwe kazi yaani yatekelezeke .... nchi hii siasa inataka kuvuruga dira sasa

wishing success to all wajasiriamali in 2013
 
Wazo lako zuri, edit post yako
 
mkuu .... umesomeka

tunataka ma-idea yamwagwe hapa jf na yafanyiwe kazi yaani yatekelezeke .... nchi hii siasa inataka kuvuruga dira sasa

wishing success to all wajasiriamali in 2013

Tatizo sio Aidea, Tatizo liko kwenye ku Practise, Si kwamba watu wanashindwa kwa sababu ya Aidea, Tatizo ni uoga wa hali ya juu tulio nao, tunashindwa hata kabla ya Kuanza,

Nilisha wahi kusema Uoga ulipo kwenye kuanza biashara ni kama uliopo kwenye Mitihani siku ya kwanza, ila ukisha piga paper kama mbili hivi uoga wote huondoka,

SO KILICHOPO NI KUWEKA KATIKA VITENDO HIZO AIDEA BILA KUJALISHA UNA CAPITA AU LA, MAKE KUWA NA WAZO PEKEE SI ISHU ISHU NI KULIWEKA KATIKA VITENDO
 

Mimi naona tatizo kubwa zaidi ni mitaji ya kuanzishia business zetu.
Mitaji tunapata wapi ??
Kwa mfano mtu ambaye anataka kujikita kwenye kilimo au ufugaji wa kisasa, lazima anahitaji mtaji mkubwa wa kuanzia.
Sasa mtaji anapata wapi ?? mikopo ya mabenki ina masharti magumu sana kama vile kuwa na dhamana, n.k.
Sasa anayejua wapi tutapata mikopo yenye masharti nafuu atuambie ili tujikite kwenye biashara na miradi mbali mbali.
 
Kweli chasha, tukiendelea kulia lia tu na kuwa waoga tutabaki hivi hivi.
 
Njia mojawapo ya kupata mtaji ni kuungana ili kile kidogo alicho nacho mtu kichanganywe na cha mwenzake, haba na haba hujaza kibaba.
 
Ulisema ungekuja nikuunganishie bz ya kupika msosi pale Rhino cement kumbe hola !!!!

yaani Malila nilitamani kweli ila nisingeweza. hata hivyo ahsante kwa kujali. nipo na mradi flani hivi, naomba nikupm kama hutojali ili unishauri mawili matatu.
 
Last edited by a moderator:
yaani Malila nilitamani kweli ila nisingeweza. hata hivyo ahsante kwa kujali. nipo na mradi flani hivi, naomba nikupm kama hutojali ili unishauri mawili matatu.

Ni-pm tu niko hewani mpaka kesho asubuhi.
 
MTAJI JAMANI! Ndo tatizo!

Mkuu huwezi kuwa Mjasirimali halafu ulie kwamba huna Capital, Ni capital kiasi gani hiyo inayo hitajika mkuu? Unataka kuwekeza kwenye Gesi?

Aidea ndo Primary capital na kama kama Mjasirimali unatakiwa kusonga mbele na ulicho nacho, Vitana watu huenda na walicho nacho una panga wewe songa mbele, Unayo fimbo wewe songa mbele na Unayo Bunduki songa mbele, so hata kama Project yako ni ya Milioni 200 na wewe una Milioni moja tu ni kuanza kazi, ni lazima uonyeshe njia hata kama unataka kushawishi watu uwe tiyali umenyesha njia ni hii

SO MKUU SONGA NA ULICHO NACHO, SAFARI YA UJASIRIMALI NI NGUMU SANA NA MARA NYINGI MATUNDA YA SAFARI HIZI HUONENAKANA BAADA YA MUDA

 
njia mojawapo ya kupata mtaji ni kuungana ili kile kidogo alicho nacho mtu kichanganywe na cha mwenzake, haba na haba hujaza kibaba.

true mkuu, kuunganisha mitaji ndo mpango mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…