CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wakuu heshima kwenu, Naungana na nyie kusherekea mwaka mpya wa 2013, na kwa wajasirimali huu ni wakati au ni mwaka wa Vitendo zaidi, ni Bora sasa maneno yakaachwa pembeni, make kila kitu kisha zungumzwa humu na kilicho bakia ni vitendo kwenda mbele,
Kwa triend ya Biashara duiniani the more siku zinavyo enda ndo the more competition ya biashara inavyo kuwa ngumu sana, na si competition ya ndani ya nchi tu bali ni kushindana na nchi za East Africa, Kushindana na SADC, kushindana na Nchi za Asia kama China, India na zinginezo na Nchi za Ulaya na MAREKANI,
Kwa sasa nchi nyingi kama za Ulaya na Marekani na hata Asia yaani China na India, wafanya biashara wengi sana wanahamishia mitaji yao Africa ambapo ndo baado hakujawa na Competition kubwa sana, na kikubwa hata wao wanakwenpa ushindani uliko kwao, so hao waote wana kuja ili wajasirimali wa Tanzania Tushindane nao, na hata Wachina tunao waona mitaani si kwamba ipo siku wataondoka bali ndo wanazidi kuja kwa hiyo kilichopo ni kufaight ta si kulalaimia wakati wao wakiendelea kupiga pesa
SO MWAKA HUU NI MWAKA WA VITENDO ZAIDI