Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Ni-pm tu niko hewani mpaka kesho asubuhi.
umenikimbia!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni-pm tu niko hewani mpaka kesho asubuhi.
umenikimbia!!!!!
Njia mojawapo ya kupata mtaji ni kuungana ili kile kidogo alicho nacho mtu kichanganywe na cha mwenzake, haba na haba hujaza kibaba.
Mkuu huwezi kuwa Mjasirimali halafu ulie kwamba huna Capital, Ni capital kiasi gani hiyo inayo hitajika mkuu? Unataka kuwekeza kwenye Gesi?
Aidea ndo Primary capital na kama kama Mjasirimali unatakiwa kusonga mbele na ulicho nacho, Vitana watu huenda na walicho nacho una panga wewe songa mbele, Unayo fimbo wewe songa mbele na Unayo Bunduki songa mbele, so hata kama Project yako ni ya Milioni 200 na wewe una Milioni moja tu ni kuanza kazi, ni lazima uonyeshe njia hata kama unataka kushawishi watu uwe tiyali umenyesha njia ni hii
SO MKUU SONGA NA ULICHO NACHO, SAFARI YA UJASIRIMALI NI NGUMU SANA NA MARA NYINGI MATUNDA YA SAFARI HIZI HUONENAKANA BAADA YA MUDA
Asante kwa mawazo mazuri mkuu, mimi ningependa kuanza business at least nikishafikisha mtaji wa milioni tano ila kwa sasa nina laki tano na sijui pa kuanzia, naomba nisaidie kimawazo niaanzie wapi?Mkuu huwezi kuwa Mjasirimali halafu ulie kwamba huna Capital, Ni capital kiasi gani hiyo inayo hitajika mkuu? Unataka kuwekeza kwenye Gesi?
Aidea ndo Primary capital na kama kama Mjasirimali unatakiwa kusonga mbele na ulicho nacho, Vitana watu huenda na walicho nacho una panga wewe songa mbele, Unayo fimbo wewe songa mbele na Unayo Bunduki songa mbele, so hata kama Project yako ni ya Milioni 200 na wewe una Milioni moja tu ni kuanza kazi, ni lazima uonyeshe njia hata kama unataka kushawishi watu uwe tiyali umenyesha njia ni hii
SO MKUU SONGA NA ULICHO NACHO, SAFARI YA UJASIRIMALI NI NGUMU SANA NA MARA NYINGI MATUNDA YA SAFARI HIZI HUONENAKANA BAADA YA MUDA
Asante kwa mawazo mazuri mkuu, mimi ningependa kuanza business at least nikishafikisha mtaji wa milioni tano ila kwa sasa nina laki tano na sijui pa kuanzia, naomba nisaidie kimawazo niaanzie wapi?
Mtaji mwingine ni afya yako,kama kijana una afya njema what's going to stand in your way bwana,but inabidi uwe calculated,na pia tatizo tuna-aim too high,kuna njia nyingi za kuongeza capital yako,kama benki umefeli,kukopa kwa marafiki umefeli anza na hicho kidogo ulichonacho kufanya biz ingine unakusanya pesa ili uje kufanya biz ya ndoto zako,usijali kuhusu kupoteza muda kujijenga,kuna watu imewachukua miaka zaidi ya 30 kufanikiwa kibiashara,hakuna biashara isiyolipa.poleni post yangu haina paragraphs.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
wajasirimali, Mwaka 2013 uwe
mwaka wa Action zaidi kuliko
Matendo.Matendo=Action,which is which? Au kuliko maneno? PM invisible akusaidie kuedit heading.
Mkuu ni kweli kabisa, Kinacho hitajika ni Uvumilivu tu na si kingine, Tatizo kubwa ni kwamba wajasirimali wengi wanathiriwa na huu mfumo wa maisha tulio nao huku Bongo, Mfumo ambao ni Kulaumiana kila kukicha, mfumo ambao ni lazima ucangie Harusi, kipa imara, send off, Ubarikio, Gradution na kazalika, Some time hii mifumo inamfanya mjasirimali kuwa katika wakati mgumu na kupelekea kufanya biashara huku akiwaza kukusanya pesa nyingi za kugharamikia mambo kama hayo,
Ili usonge mbele kama mjasirimali, kuna mambo unapaswa kupiga chini potelea mbali hata kama watakulaumu na kukuongea kiasi gani, ni lazima tuwe siriasi, UJASIRIMALI SI MCHEZO PRACTISE YAKE INAHITAJI KUJITOA KWA HALI NA MALI,
Na hata mitaji utaona kwamba si kweli kwamba ni wote hawana mitaji, Kuna mtu anaweza lia mtaji huku ndani mwake anamiliki MUSIC SYSTEAM YA LAKI 8, anamiliki vitu kibao vya anasa visivyo kuwa na mpango, ni bora tunapolia mitaji hata maisha yetu yawe katika hali ya kuhitaji kweli mitaji, Ni kumdhihaki mungu kama tunalia mitaji huku daily mtu anatumia zaidi ya 80,000 kwa matumizi yasuo kuwa na umuhimu,
Kingine kigumu zaidi ni kama umeoa au umeolewa na mtu mwenye employee mentality,kila siku itakua ugomvi,wewe unapanga utoe kiasi flani kwa ajili ya business yeye hakubaliani nawe akidhani unapoteza pesa,ni nzuri kama spouse wako anaendana nawe kifikra.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Muoneshe kuwa unathubutu, unaweza na unasonga mbeleNi kweli ni Lazima Mke/Mme awe na Mentality ya Biashara, Lakini akiwa mmoja anapenda biashara and then mwingine anaichukia sana kitakacho tokea ni kukatisha tamaa na kuvunjana moyo