Kwa wajenzi na mafindi wengine. Pipe za 10mm napataje?

Kwa wajenzi na mafindi wengine. Pipe za 10mm napataje?

Mtu Poa 2013

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
105
Reaction score
65
Kwema wazee?

Jamani natafuta pipe za plastic za 10mm lakini kwenye ma kardware kyna za 12mm na zaidi.

Je pipe za plastic za 10mm naweza pata wapi dar? Na je zinatimika kwa kazi gani?
 
Lugha uliyotumia ni ngumu sana,anyway unauliza kitu na hujui kinakazi gani.kwanini usiulize kitu ambacho unamatumizi nacho
 
Kwema wazee?

Jamani natafuta pipe za plastic za 10mm lakini kwenye ma kardware kyna za 12mm na zaidi.

Je pipe za plastic za 10mm naweza pata wapi dar? Na je zinatimika kwa kazi gani?
Hapo mnapishana kwenywe kusoma hizo mm. Wewe unatumia kipenyo cha ndani(internal diameter), wao wanatumia kipenyo cha nje (external diameter).
Tofauti yenu ni sehemu mnapochukulia vipimo.
Ukisoma hiyo pipe ya hardware utakuta imeanfika DN 12 ( yaani kipenyo cha nje) ambayo sawa na hiyo 10mm unayotafuta.
Pipes zinazalishwa kwa standard diameter (Unit). Hivyo unachotafuta kipo sokoni otherwise uwe umekosea kipimo.
 
Back
Top Bottom